natafuta chumba cha kupanga banana, majumba 6 au jiran na hapo.

Jicho la Tai

JF-Expert Member
Oct 10, 2012
1,449
574
natafuta chumba cha kupanga banana, majumba 6 au jiran na hapo. hata km self ni nzuri zaidi.
Kiwe na maji, umeme, maji. mazingira mazuri. sio uswahilin sana.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom