Natafuta chumba 1 au 2 vya kupanga

bishoke

JF-Expert Member
Jan 12, 2010
274
52
Wana JF naomba msaada. Nina tafuta chumba kimoja self au chumba na sebule kwa ajili ya familia ya mtu mmoja. Eneo lolote isipokuwa mbezi ya morogoro roadd. Ni vizuri kama nyumba ina uzio na gari linafika. Bajeti yangu ni kama 120,000 hivi. Asanteni sana kwa kunijali. Tafadhali nijulishe kupiatia simu yangu 0784 398 893.
 
Dalali tajiri (all Magomeni area starting Mapipa upto Mwembechai 0713244355.Maeneo ya Shopaz,Msasani na mikochen A Dalali 0718431381 try
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom