natafuta CCM Manifesto (English version)

Ng'azagala

JF-Expert Member
Jun 7, 2008
1,286
221
Wakuu wote heshima mbele

natafuta CCM Manifesto (English version) kwa ajili ya Academic na sio kugombea ubunge. ya kiswahili ninayo

Natanguliza shukrani.
 
Wakuu wote heshima mbele

natafuta CCM Manifesto (English version) kwa ajili ya Academic na sio kugombea ubunge. ya kiswahili ninayo

Natanguliza shukrani.
Ya lini? kama ni 2010 bado hawajatoa maana wanasubiri Chadema watoe yao wao wanakiri.
 
Wakuu wote heshima mbele

natafuta CCM Manifesto (English version) kwa ajili ya Academic na sio kugombea ubunge. ya kiswahili ninayo

Natanguliza shukrani.

CCM haijawahi kuwa na manifesto ya Kiingereza labda uwatafsirie wewe sasa, kwani wanachama wake wote bara na visiwani ni waswahili deki deki
 
Kwanini unahitaji zote mbili? Kwani huelewi Kiswahili? Au unadhani ya Kiingereza itakuwa na mambo tofauti.
 
Wakuu wote heshima mbele

natafuta CCM Manifesto (English version) kwa ajili ya Academic na sio kugombea ubunge. ya kiswahili ninayo

Natanguliza shukrani.
Wakati wewe unatafuta ya Kiingereza, naomba unipatie hiyo ya Kiswali uliyonayo, nami nitakutafsiria katika lugha ya Kiingereza ila haitakuwa official translation, official hufanywa na Bakita.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom