Natafuta Canter ya kubebea mizigo yangu kwa wiki Tsh. 200,000 Arusha

Natafuta canter nibebee mizigo yangu Arusha mjini, dereva wangu, mafuta yangu kwa wiki nalipa laki mbili kwa mmiliki wa gari kazi ni endelevu.

Mwenyenalo tuwasiliane 0686457546
Ukimpata niambie na mimi nikodi kwa bei hiyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom