Maboksi ya bidhaaMizigo gani?
Ukimpata niambie na mimi nikodi kwa bei hiyoNatafuta canter nibebee mizigo yangu Arusha mjini, dereva wangu, mafuta yangu kwa wiki nalipa laki mbili kwa mmiliki wa gari kazi ni endelevu.
Mwenyenalo tuwasiliane 0686457546