Natafuta business partner

BROKE BOYS

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
13,209
39,031
Mambo vipi wadau,

Nataka kufungua car wash nzuri na ya kisasa lakini hii biashara nataka iwe tofauti na watu wengine wanavyofanya ili tuweze kuliteka soko.

Nahitaji mtu tushirikiane tuwe kitu kimoja wanasema umoja ni nguvu. Tushare hisa pamoja na faida tugawane sawa. Sijataka kushirikisha marafiki wa karibu, ofisn nk kwasababu nataka mtu tofauti ili tufanye biashara serious.

Kama upo tayar tufanye hii kitu kwa pamoja karibu inbox tubadilishane namba za simu. Jinsia yyte hakuna bias.
 
Explain more.. kuhusu mtaji n.k
 
Tayari una eneo?
 
Back
Top Bottom