Natafuta Boyfriend.

Ukiacha hilo la kutafuta, ww una sifa zipi? Arusha kubwa, unapendelea awe wa pande zipi, jiji au halmashauri?
Nikutakie utafutaji mwema
 
Ukiacha hilo la kutafuta, ww una sifa zipi? Arusha kubwa, unapendelea awe wa pande zipi, jiji au halmashauri?
Nikutakie utafutaji mwema

Mrembo na pia i blv ni independent to the fullest. Manispaa.
 
Mimi PESA iko, ila ninajihisi sio Handsome... Vigezo vingine nimezingatia... Niambie kabla pls.
 
Kama ni penzi unataka sema. ila pesa sina kabisa afu niko bomba handsome. Full Mvuto. Tuwasiliane
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom