Natafuta Body ya suzuki vitara

federicofernandez

JF-Expert Member
Jun 19, 2016
578
392
Ni suzuki vitara milango mi3

Make:Suzuki
model: vitara
model na:SE416_JLXPP
Body type:station wagon
chassis na:TAO1V117458
NUMBER of axels 2

Mwenye nayo au anaejua bei anijulishe
 
Ni suzuki vitara milango mi3

Make:Suzuki
model: vitara
model na:SE416_JLXPP
Body type:station wagon
chassis na:TAO1V117458
NUMBER of axels 2

Mwenye nayo au anaejua bei anijulishe
Uko wapi nikuunganishe ns wachinjaji?
Ikiwa uko dar nenda Koyo spare parts, wako uhuru road, ukitokea round about baada ya benjamini mkapa sec na kabla ya junction ya shauri moyo
 
Back
Top Bottom