Natafuta bodaboda used kwa Mtwara tuu!!

cantonna

JF-Expert Member
Mar 11, 2013
1,120
439
Wadau natafuta bodaboda ilio katika ubora mzuri!! Kwa waliopo mtwara town tuu!! Tuwasiliane kwa number 0658714789
 
M 1 had na laki 2 hadi 3 kutokana na ubora wa chombo chenyewe!!!
Poa, mimi hainitoshi... Yangu ina miezi 6 tu hua naendea job na kurudi, ngoja nikiona mshkaji anauza ipo katika hali nzuri ntakushtua km utakua hujapata,

NB;
Kua makini bro katika ununuzi, kabla hujalipa kahakikishe tra umiliki. Unaeza nunua pikipiki kumbe umenunua kesi ya kuua.
 
ungetaja unayotakaa
 
namsaidia kushukuru
 
ungetaja unayotakaa

Kiwango alichoanzia nmeona kidogo kwa hali ya pikipiki yangu, nmeona nikae pembeni nisimchoshe kijana mwenzangu. Maana najua ameshajiandaa kwa kiwango hicho, na atapata pikipiki nzuri tu

namsaidia kushukuru
Poa, tunakumbushana tu usalama, maana siku hizi wajanja wengi (nna rafiki angu anashikiliwa kwa kosa asilolijua kwa mambo hayahaya, pikipiki iliibiwa Mbeya akanunua yeye Masasi, siku ya siku kuna askari wakaja mchukua, kapoteza mda na pesa na ana kesi haijaisha mahakamani)
 
Back
Top Bottom