Natafuta Blackberry Q10 used au mpya

ethicx

JF-Expert Member
Apr 4, 2012
311
124
Habari zenu wadau natafuta blackberry Q10 used au mpya nina 100k na BB 9900. Kwahyo unaweza tukafanya biashara ya yaku exchange kwakukupa blackberry bold 9900 na kukuongezea 100k au nikakupa cash. Mtu aliye serious tufanye biashara ni pm fasta. Au kama kuna mtu ataitaka hiyo bb 9900 pia ani pm.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom