natafuta blackberry bold 9700 or 9780 or torch 9800 na iphone 3g 0r 3gs,iphone 4 used or new

iPhone 4, 16GB Factory unlocked, Black, full accessories, no scratch almost new, price 850,000/=, Arusha only,,, 0716904626

6j1q1y.jpg
 
msisahau na mwazo haya kutoka kwa mwenzetu naona wengi mnarudia makosa

Kwa kua mimi ni mmoja wa wadau wa hili jukwaa ningependa pendekeza kitu. Mpaka sasa hivi nimeona matangazo mengi yanayowekwa hapa hua hayajitoshelezi (details chache), yani kwa kusoma tu tangazo mara ya kwanza mtu anashindwa kuamua kama kinachotangazwa kinamfaa, bei anaiweza au atakipenda. Unakuta watu inabidi waulize maswali mengi sana baada ya original post.

Kwanini tusirahisishiane kazi kwa kuweka details zote ambazo ni muhimu kuhusiana na bidhaa?
. . . Picha - mtu ajue muonekano wa kinachotangazwa.
. . . Specs - mtu ajue atakachopata kwenye hiyo bidhaa.
. . .Bei - mtu ajue kama ana kiasi kinachohitajika.
. . .Eneo - mtu ajue kama anaweza fuata hiyo bidhaa.
N.k
Mimi nimeboreka sana baada ya kufuatilia tangazo moja la nyumba hapa, baada ya kuchoma sana credit kupiga back and forth alafu siku kadhaa baadae nikaja kugundua kwamba hiyo nyumba haina uzio. Hapo nilishampa mwenye tangazo matumaini ya kupata mteja, mimi ya kupata nyumba nzuri wakati tulikua tunapotezeana muda na pesa bure.

Ningependekeza kwanzia sasa watu wawe wanaweka maelezo yanayojitosheleza ili mtu atakapochukua hatua ya kukutafuta awe anafanya kuuliza kama bidhaa bado ipo na wapi muonane badala ya kuuliza maswali ambayo majibu yake anaweza kuyapata kirahisi kwenye tangazo lako.​


 
Back
Top Bottom