Natafuta Binti wa kuwa naye kimapenzi

Mwanifu maana yake nikimwacha home asisepe na mali za home
Yaan asiibe vitu vya ndani kama vile tv? Kwa umri huo inamaana utakutana na mwanamke ambae amemaliza chuo hana kazi, kuibia vijisent sio mbaya umvumilie tu Huu uzi umenichekesha kweli nkawaza mleta mada analenga kukutana na mdada kutoka wap huyo.?
 
Kila la heri, Ila siku hizi mbona kumpata msichana kazi nyepesi sana?
Just story mbili tatu namba, email vinapatikana
 
Mwanifu maana yake nikimwacha home asisepe na mali za home
Siku hizi haka katabia kamezuka Sana , yaani wanawake wengi siku hizi wamekua na tabia ya kuondoka na vitu vya nyumbani ,
Umetoka asubuhi umeenda job unarudi home unakuta kweupe chumba kinakuangalia , ameshakula kona n vyombo vyote
 
Mhh, sio kwa vigezo hv...
Kama ni fubdi kitandani(mkataji mauno) uaminifu hyo anautoa wapi maana ukimuona mtu anayaweza hayo basi ujue ni mjuvi wa mji/mambo
yes mara nyingi wajuvi kitandani huwa ni wale mademu wa uswazi ambao walianza ucharuko mapema tangu wakiwa na miaka 12 na shule hata darasa la 7 kumaliza ni bahati nasibu.
Wale ambao walikuwa watulivu na kuchelewa kuanza mahusiano sio wajuvi kitandani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom