Natafuta binti wa kuanzisha familia

Mkuu kila la kheri

Hiyo funguo umening'iniza hapo ni ya IST au Altezza? Hiyo ungeiweka wazi mapema ni added advantage kwa wachuchu wa JF

Afu yule Paula wa Kajala ana miaka 20 hivi sasa, jina linaelekea ni la ukolomojeni, hebu India Insta fasta ujaribu bahati yako mwanawane

 
Hakunaga neno la kiislam hilo ni neno la kiarabu likiwa na maana asante yapo meng kama marahaba mujarab mashalaaah na nk kiarabu ni lugha kama lugha zingine tu kiarabu sio kiislamu
In sha Allah ni neno la kiarabu lenye maana ya Allah Akijaalia/Akipenda
 
Huu ndo mfano mzuri wa kutafuta mchumba.mtu anaweka mawasiliano inakuwa simple kumtafuta.sio mtu anasema eti nicheki pm, hivi mnajua ni ngumu mwanamke kumfata mwanaume pm? Akifika atasemaje?

Nakuombea upate mke mwema.
Haya sasa changamkia fursa haina haja tena ya kusubiri mahusiano yaliyolegea ujichomeke 😀🏃
 
Sifa zangu

Miaka yangu 33

Kaz biashara ndogo ndogo

Kabila sukuma /nyamwezi

Makaz dsm


Dini roman mkristo

Mrefu mweusi mawasiliano yangu ni 0763932278

Vigezo vya mke

Asiwe na mtoto

Umr uwe chini yangu mimi mpaka 20
Kabila sukuma nyamwezi

Dini roman au dhehebu lolote ila achange kuja kwangu

Awe na hofu ya mungu
View attachment 1706935
Mkuu hiyo hapo ni funguo ya Ghetto ???
 
Kuweka picha yako hapa it shows una confidence, which is really good in a man, ningekua enzi zangu zile..ningeshaku PM
 
Sifa zangu

Miaka yangu 33

Kaz biashara ndogo ndogo

Kabila sukuma /nyamwezi

Makaz dsm


Dini roman mkristo

Mrefu mweusi mawasiliano yangu ni 0763932278

Vigezo vya mke

Asiwe na mtoto

Umr uwe chini yangu mimi mpaka 20
Kabila sukuma nyamwezi

Dini roman au dhehebu lolote ila achange kuja kwangu

Awe na hofu ya mungu
View attachment 1706935
Hongera kwa ujasiri seza wane
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom