Edwin171
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 447
- 539
Hapana mkuu, kuingia saa 2 asubuhi kutoka saa 11 jioni, Overtime haifiki 1000 kwa saa, nimefanya hapo, mshahara elfu 90, siku saba za mwanzo unafanya bure bila kupewa kitu, ukiambiwa ufanye na Overtime, utafanya mpaka saa tatu, niliwahi kufanya hapo kwa miezi miwili wakati naseti mipango yanguNimeulizia hapa naambiwa wanalipwa 110,000 per month na nyongeza ya 1000 kwa kila saa unayoongeza,na inategemea pia na kitengo ulichofanya
Wanaingia saa 2 asubuhi-11jioni
Duh hali siyo hali