Natafuta binti mrembo wa kujenga naye maisha

Bonphace John

New Member
Apr 20, 2016
1
0
Mimi ni kijana mfanyakazi na nimejiajiri, naishi Tabora Mjini. Natafuta binti mrembo mwenye makalio makubwa kwaajili ya kuwa mpenzi wangu na baadae tukijaaliwa awe mke wangu. Sina mtoto na ninaishi peke yangu.

Nicheck though my email bonphacej@gmail.com.

Thanks
 
Mh!mrembo na mwenye makalio makubwa.Hutajenga maisha bali makalio na urembo wa huyo binti
 
We unatafta kubomoa hata hapo padogo ulipoanza, maisha yanajengwa na wewe mwenyewe..

Hifadhi hilo ndani ya fuvu la kichwa chako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom