Natafuta binti( mrembo )wa kubadilishana Mawazo

Asante kwa ushauri :
Hivi kweli upo siriaz na maisha wewe kijana kwann usiseme unatafuta demu Wa kumdinya.
Kwanza unataka binti kukutoa stress na upweke alafu huyo huyo binti ndani yake awe anajielewa pia kichwani awe vzuri kama wewe,mwisho huo umri ambao umeutaja hapo chini 19-25.
Yan kabinti ka watu kaje kukufanyia mambo yote kama umeoa alafu siku stress zako zikiisha utamfanyaje?

Ushauri wangu kama mazingira ambayo yamekuzunguka umekosa binti mwenye sifa hzo naimani ata humu JF hawapo pia.

Nenda kaweke Bandiko lako Facebook utapata vibinti maana humu kuna mabibi wamama mashangazi na Madada zako.
 
Nigga kama unataka mabinti wa kubadilishana nao mawazo na umesema hela unazo usivichoshe vidole kuandika uzi na kujibu comment.

Fungua video library uza movies, uza series, films, animations n.k ambazo hazijatafsiriwa na zilizotafsiriwa. Akili ya mtu utaipima kutokana na muvi anazochukua, yaani huna haja ya kumuuliza kama ana akili.

Utakutana na wengi mno.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom