Natafuta binti alieachwa na mpenzi wake

Jozay joo

Jozay joo

Senior Member
Joined
May 26, 2017
Messages
193
Likes
228
Points
60
Jozay joo

Jozay joo

Senior Member
Joined May 26, 2017
193 228 60
Husika kichwa hapo juu,

Jamani moyo wangu unasimanzi kubwa na maumivu ya kutisha sana kwa sababu ya mapenzi, nimeamini msemo usemao mapenzi hayana komando na pia hakuna mkate mgumu mbele ya chai, sio kwamba mimi ni komando la hasha!

Jamani siku kazaa zilizopita niligombana na mwenzangu( mchumba angu) lakini aliomba msamaha kadri hisia zake zilivyomtuma lakini Jamaa nilikataa katakata kumsamehe na kumpa kauli nyundo, hadi akatishia kua mlevi wa kupindukia.

Lakini sikujali hilo mimi niliendelea na hamsini zangu lakini nimejaribu kuwaza kwa kina nimegundua mimi nimemkosea sana tena sana hadi nafsi yangu inanisuta sana sina amani.

Hapa nilipo nimemwomba msamaha tena kwa kumaanisha kabisa lakini mdada amekataa nae katakata nimewatuma hadi rafiki zake lakini amegoma kabisa na amesema nisahau msamaha wake, naumia sana kwa kweli sina amani kabisa.

Sina namna, maji yakimwagika hayazoleki, NAOMBA KAMA KUNA BINTI NAE AMEACHWA AU AMESALITIWA TUKUTANE TUYAJENGE, NAAHIDI KUMPENDA KWA MOYO WANGU WOTE.

Awe na umri kati ya miaka 20_25. itapendeza zaidi akiwa ni mkazi wa Morogoro

Ahsanteni
 
Jaby'z

Jaby'z

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2013
Messages
3,175
Likes
4,161
Points
280
Jaby'z

Jaby'z

JF-Expert Member
Joined Jan 15, 2013
3,175 4,161 280
ukama unampenda kweli usimkatie tamaa, omba kuonana nae umuombe msamaha, wanawake wana huruma sana atakusamehe tu achana na habari za kutafuta wanawake humu JF.
 
Jozay joo

Jozay joo

Senior Member
Joined
May 26, 2017
Messages
193
Likes
228
Points
60
Jozay joo

Jozay joo

Senior Member
Joined May 26, 2017
193 228 60
ukama unampenda kweli usimkatie tamaa, omba kuonana nae umuombe msamaha, wanawake wana huruma sana atakusamehe tu achana na habari za kutafuta wanawake humu JF.
Nashukuru mkuu, ngoja niendelee kua mvumilivu anaweza rudisha moyo nyuma.
 
Yegomasika

Yegomasika

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2009
Messages
10,689
Likes
43,726
Points
280
Yegomasika

Yegomasika

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2009
10,689 43,726 280
Ulikuwa una test zali?
 
bioto yona raphael

bioto yona raphael

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2017
Messages
639
Likes
1,165
Points
180
bioto yona raphael

bioto yona raphael

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2017
639 1,165 180
kama ameachwa kwa sababu ya tabia chafu chafu utamkubali?
 
ze-dudu

ze-dudu

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Messages
8,715
Likes
7,824
Points
280
ze-dudu

ze-dudu

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2014
8,715 7,824 280
atakumalizia machungu yake bora ukaushe tu
 
M

mbeyakwetu

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2016
Messages
515
Likes
198
Points
60
Age
27
M

mbeyakwetu

JF-Expert Member
Joined Dec 17, 2016
515 198 60
dunia adhabu tu mkuu pole
 
Zigu

Zigu

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2017
Messages
318
Likes
192
Points
60
Zigu

Zigu

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2017
318 192 60
Husika kichwa hapo juu,

Jamani moyo wangu unasimanzi kubwa na maumivu ya kutisha sana kwa sababu ya mapenzi, nimeamini msemo usemao mapenzi hayana komando na pia hakuna mkate mgumu mbele ya chai, sio kwamba mimi ni komando la hasha!

Jamani siku kazaa zilizopita niligombana na mwenzangu( mchumba angu) lakini aliomba msamaha kadri hisia zake zilivyomtuma lakini Jamaa nilikataa katakata kumsamehe na kumpa kauli nyundo, hadi akatishia kua mlevi wa kupindukia.

Lakini sikujali hilo mimi niliendelea na hamsini zangu lakini nimejaribu kuwaza kwa kina nimegundua mimi nimemkosea sana tena sana hadi nafsi yangu inanisuta sana sina amani.

Hapa nilipo nimemwomba msamaha tena kwa kumaanisha kabisa lakini mdada amekataa nae katakata nimewatuma hadi rafiki zake lakini amegoma kabisa na amesema nisahau msamaha wake, naumia sana kwa kweli sina amani kabisa.

Sina namna, maji yakimwagika hayazoleki, NAOMBA KAMA KUNA BINTI NAE AMEACHWA AU AMESALITIWA TUKUTANE TUYAJENGE, NAAHIDI KUMPENDA KWA MOYO WANGU WOTE.

Awe na umri kati ya miaka 20_25. itapendeza zaidi akiwa ni mkazi wa Morogoro

Ahsanteni
Hay sasa kwa wale mabinti wa Lukobe na Kihonda kazi kwenu
 
Bibooo

Bibooo

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2017
Messages
407
Likes
273
Points
80
Bibooo

Bibooo

JF-Expert Member
Joined May 2, 2017
407 273 80
Ulikuwa unatikisa kiberiti sio!? Basi sawa....
 
S

Stardust

Member
Joined
Nov 6, 2017
Messages
79
Likes
88
Points
25
S

Stardust

Member
Joined Nov 6, 2017
79 88 25
Acha kumuomba msamaha, cha kufanya kuwa kama unamzoea upya, ukikutana nae msalimie kama hajawahi kuwa mpenzi wako, jitahidi kumuweka karibu kirafiki, baada ya mwezi utafanikiwa kuwa nae tena. Kadri unavyoomba msamaha unamkumbusha ulivyomtendea nyuma so inamuuma.
 
kilambimkwidu

kilambimkwidu

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2017
Messages
4,526
Likes
4,381
Points
280
kilambimkwidu

kilambimkwidu

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2017
4,526 4,381 280
Mcheki ex wako mkuu
 
Anami

Anami

Member
Joined
Oct 16, 2017
Messages
17
Likes
13
Points
5
Anami

Anami

Member
Joined Oct 16, 2017
17 13 5
Nonsense!! Hata kiswahili hujui vizuri. Kwanza umesema uligombana nae halafu eti yeye akakuomba msamaha na ukakataa kumsamehe, haina kichwa wala miguu unatafuta comment tu za bure. Tafuta mahali ufix uwongo wako
 
Anami

Anami

Member
Joined
Oct 16, 2017
Messages
17
Likes
13
Points
5
Anami

Anami

Member
Joined Oct 16, 2017
17 13 5
Kama wewe ndio uligombana nae iweje akuombe msamaha?? Na huyo mwingine unayemhitaji unataka umpotezee mda wake then nae ugombane nae halafu usimsamehe katakata kama ulivosema kwenye story yako ya kutunga bila kufikiri.
 
Forum statistics

Threads 1,249,966
Members 481,167
Posts 29,716,096