Natafuta Beach Plot/ eneo ambalo ni mita chache toka ufukweni sehemu yoyote Dar es Salaam

Mahorii

Member
Jan 26, 2014
71
69
Wakuu,

Natafuta eneno ambalo ni mita chache toka ufukweni. Sehemu ambayo nitaweza kujenga nyumba ya makazi.

Budget yangu ni kati ya Milioni 12 mpaka milioni 30. Hii itategemea na sehemu.

Unaweza nicheki inbox kama una eneno na upo serious kuuza.

Nitalipa pesa kwa mkupuo pindi tutapo fanya makubaliano.

Asanteni.

Updated Sehemu yeyote Dar es salaam
 
Lipo eneo mkoa wa Tanga kama unaweza kuishi mkoa huo Ni inbox, bajeti yako pia itapungua Sana.
 
Kuna mdau humu humu Jana alikuwa anatangaza vya kigamboni jirani na darajani.i la sikumbuki anajiita nani.
 
Mimi naishi pembeni ya mto wenye maji muda wote napo ni beach? Na je naruhusiwa kujenga nikaacha mita 15 toka mto?
 
Back
Top Bottom