futurestar
JF-Expert Member
- Oct 15, 2014
- 245
- 77
Habari wana Jf.
Naomba msaada kuhusu Benki yenye mikopo yenye riba nafuu.
Ni mkopo wa kupanua biashara.
Naomba msaada kuhusu Benki yenye mikopo yenye riba nafuu.
Ni mkopo wa kupanua biashara.
Naenda Amana, hawana ribs kabisa. Ribs ni dhambiNenda dcb commercial bank wapo vizuri
Naenda Amana, hawana ribs kabisa. Ribs ni dhambi
Finca wapo vzr ??!Nenda DCB na FINCA
Hawa Saccos si ndio huwa wanachukua mpk vijiko hawa ?!!Njooni Hazina Saccos ltd
Ngoja wake wanaojuaHv huwa wanapataje faida?
Usipolipa, yes.Hawa Saccos si ndio huwa wanachukua mpk vijiko hawa ?!!
Hiyo ni ile saccoss ya watumishi au majina tu yamefanana?Njooni Hazina Saccos ltd
Hapana mkuu,dhamana ni mshahara wako tu,tupo pale wizara ya Fedha na Mipango,njoo tukuhudumieHawa Saccos si ndio huwa wanachukua mpk vijiko hawa ?!!
Ndio hiyoHiyo ni ile saccoss ya watumishi au majina tu yamefanana?
Kama mtu huna mshahara yani ni mjasiriamali inakuwaje?Hapana mkuu,dhamana ni mshahara wako tu,tupo pale wizara ya Fedha na Mipango,njoo tukuhudumie
Naweza kukopa maximum ya sh ngapi mkuu?Hapana mkuu,dhamana ni mshahara wako tu,tupo pale wizara ya Fedha na Mipango,njoo tukuhudumie