Natafuta Bampa la Premio

Benzoic

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
421
149
Habari wana JF, gari yangu Premio silver imeangusha bampa. Kwa anayeuza au kujua wapi wanauza anijuze. Ni Premio hizi zenye sensa. Kwa hiyo na bampa liwe na sehemu za sensa.
Asanteni
 
Nenda Raha leo kariakoo, kule wanakouza spear za magari mchikichini ili machinga Complex ulizia stendi ya Raha leo ,huko hauwezi kosa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom