Natafuta anayesafiri kutoka Dar kwenda Moshi tarehe 09.06.2018

Mdogo ake the BOLD

JF-Expert Member
Mar 30, 2018
457
831
Kama title inavosema nina Safari ya Moshi tarehe husika hapo juu, nilikuwa naomba kama kuna mwana jf anasafiri siku hiyo tajwa naomba lift na nitachangia kiasi cha 40,000 ambaye ataondoka asubuhi sana na mapema ili niweze kufika Moshi mapema.

Natanguliza shukrani zangu za dhati kabisa.
 
Natumai ulitaka kuandika utachangia kiasi cha 40,000 na sio kissing 40,000.

Kama ni hivyo, kwanini usipande tu basi tena luxury na chenji ikabaki mkuu? Unapenda kukata kishoka?

Ukisafiri na basi unakuwa na amani zaidi mkuu.
Namaanisha kiasi mkuu...Shida cyo kukata kishoka ila nahitaji kufika Moshi mapema kabla ya SAA 7 au SAA 8...nna ishu muhimu Sana......hela cyo Shida hata akisema elfu 50
 
Kwani hakuna fast jet inayo- land uwanja wa kisongo Arusha then udake machine za Arusha to Kilimanjaro?
 
Back
Top Bottom