Desmond Kamala
Senior Member
- Feb 20, 2014
- 134
- 8
Natafuta kazi yoyote ya kufanya kwa part time..naongea kiingereza vizuri na ujuzi wa computer..nasoma chuo cha usafirishaji kozi ya mechanical engneering..pia naweza kazi ya kufundisha mathematics,geography..kwa mawasiliano 0624055251 na 0757569232