Natafuta ajira ya kufundisha sumbawanga au mbeya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta ajira ya kufundisha sumbawanga au mbeya

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Fungo N., Jul 11, 2011.

 1. Fungo N.

  Fungo N. JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 252
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  wana jf naomba kwa yeyote mwenye taarifa ya shule inayohitaji mwl. wa history na kiswahili anipe taarifa hasa ktk mikoa ya mby na s wanga.Elimu bachelor BAED Asanteni
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  Umegraduate chuo gan,na mwaka gan?
   
 3. Qulfayaqul

  Qulfayaqul JF-Expert Member

  #3
  Jul 11, 2011
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 471
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  kaombe kwa mkurugenzi wa mikoa husika
   
 4. N

  Ndele Member

  #4
  Jul 11, 2011
  Joined: Dec 27, 2008
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  upo mkoa gani wewe? mbona sumbawanga walimu wanahitajika sana! kuna shule zina mwalimu mmoja tu! hivyo ukiitaji kazi ya kufundisha
   
 5. N

  Ndele Member

  #5
  Jul 11, 2011
  Joined: Dec 27, 2008
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ukiitaji kazi ya kufundisha nenda kwa mkurugenzi wa halmashauri unayotaka kufanya kazi! na hua walimu wenye nia kama yako wanalipwa na mfuko unaoitwa mwalimu nyerere foundation! wanalipwa zaidi ya Tsh. laki tano ya kuanzia maisha.
   
 6. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #6
  Jul 11, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Weee....
  Nlidhani nimepata mwalimu wa kuwafundisha wanafunzi wangu wa darasa la uchawi, kumbe nimegonga mwamba.!!!
  Natafuta mwalimu wa uchawi.
   
 7. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #7
  Jul 12, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  sumbawanga ukitaka hata kuwa mwalimu mkuu fasta unapata, we wahi pale halimashauri ya sumbawanga vijijini (office zipo sumbawanga mjini-halimashauri) akupangie shule mojawapo zile za kata kwa kuanzia utakuwa academic masta
   
 8. E

  Emeka Onono Senior Member

  #8
  Jul 12, 2011
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 114
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  siku hiz halmashaur hazijaajiri,maombi yote ni sekretariet ya ajira,au wizara ya elimu
   
 9. k

  kinampanda Member

  #9
  Jul 13, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ninataka kujiunga na jwtz ,jamani hivi ni lini wanatoa nafasi hizo nisaidieni wana jamii wenzangu
   
Loading...