Natafuta ajira, nina shahada ya 'Business Administration'

Unaweza kufanya nini na nini (taja sifa zako) e.g kutumia vizuri computer

Then sio 'ajila' ni ajira.

Samahi kwa hayo makosa na nimeyapokea ila pia nafahamu kutumia computer vizuri sana
 
Kulikua hamna haja ya kutuambia kutengana kwa wazazi wako.

Kwahiyo bila mamako kukushauri ungeendelea kubweteka tu au?

Unaweza kufanya nini na nini (taja sifa zako) e.g kutumia vizuri computer

Then sio 'ajila' ni ajira.

Kila kheri.
Anasema yeye ni msomi kwa maelezo haya utasugua bench sana kutafta kazi mpaka uambiwe,halafu umesomea biashara kwanini usianze na mtaji wa 100,000 kwa kuuza hyo smart phone,upate mtaji naamini utatusua,nunua mbegu za mchicha kodisha kijieneo cha kulima bustani,fungu moja la mchicha 400 pigs mahesabu una mafungu 300 sawa na shilingi 120000 ndan ya wiki 2,hapo ndio unapata mwanga wa kupanua mradi wako sio mpaka usumbuke kusaka ajira
 
Haya mahesabu ya namma hii ni ya kichawi sana na ya kinafiki sana.
Kama angekuwa anataka kuuza mchicha kwa nini aende shule?
Mtu msomi kama huyu huwezi kumpa ushauri kama huu.
Nisamehe kwa msimamo mkali na maneno makali.
Masanja naye alishakuja na vihesabu vyake vya namna hii, na kejeli kibao, tangia siku hio namuona mnafiki.
B.A graduate.. Unamshauri akalime mchiche???
 
Mimi muhanga pia nauza simu na laptop yangu... ili nipate mtaji nakukaribisha katika manunuzi vyote naomba laki 5 tu... Lumia window phone na Hp

tuwasiliane PM
 
Kuna kazi haziusishi R na L... wapo wasiosoma na wanafanyakazi wengine wameajiri makumi na mamia ya watu, wanamiliki taasisi zao pia....
 
Haya mahesabu ya namma hii ni ya kichawi sana na ya kinafiki sana.
Kama angekuwa anataka kuuza mchicha kwa nini aende shule?
Mtu msomi kama huyu huwezi kumpa ushauri kama huu.
Nisamehe kwa msimamo mkali na maneno makali.
Masanja naye alishakuja na vihesabu vyake vya namna hii, na kejeli kibao, tangia siku hio namuona mnafiki.
B.A graduate.. Unamshauri akalime mchiche???
Acha kumpoteza mwenzio we unafikiri biashara ni kuanza na mamilion,nyie ndyo mnasababisha watu wanajikatia tamaa na maisha kwa kukosa kuwapa hata ushauri wa kuanzia,kutokana na elimu yake anaweza kuboresha kilimo chake.kwa taarifa yako elimu ya sasa sio Kauajiriwa soma kujiajiri,amka kama bado umelala zama hizi si sawa na za mwaka 90
 
Anasema yeye ni msomi kwa maelezo haya utasugua bench sana kutafta kazi mpaka uambiwe,halafu umesomea biashara kwanini usianze na mtaji wa 100,000 kwa kuuza hyo smart phone,upate mtaji naamini utatusua,nunua mbegu za mchicha kodisha kijieneo cha kulima bustani,fungu moja la mchicha 400 pigs mahesabu una mafungu 300 sawa na shilingi 120000 ndan ya wiki 2,hapo ndio unapata mwanga wa kupanua mradi wako sio mpaka usumbuke kusaka ajira
Kwa nini umkejeli mtu kwa kumuambia atasugua sana benchi kutafuta ajira.. Ungemshauri tu bila kejeli ingetosha.. Hayo maneno yako ya mwanzo ni ya kejeli dharau na kukatisha tamaa.. Huwezi kumkadiria mtu kuwa atasugua benchi au lah.. Siku zote Mungu ndiye mpaji!
 
Fact
 
God bless you, but sio vizur kuomba kazi na kutoa shida zote zinazokukuta kwenye maisha inakukosesha bahati itaonekana unatafuta tu kwaajil ya shida uliyonayo sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom