Natafuta Ajira/kibarua Night shifts na weekend

MIGUGO

JF-Expert Member
Dec 3, 2011
2,131
3,911
Mimi ni kijana naishi Dar es salaam.

Kutokana na kuwa na muda wa ziada kuanzia saa 12 jioni nimeona nijiongeze kwa kutafuta kibarua cha kuanzia mida hii hadi usiku.Mimi ni mwajiriwa huwa nafanya kazi asubuhi hadi jioni saa 10.Jumamosi na jumapili sina kazi.
 
Jaribu uwe unafanya Freelancer..
Kwa kua upo kwenye system unaweza kujiongeza ukafungua ofisi ndo hata duka la rejareja,banda la chips, ukamuweka kijana jioni ukirudi unaenda kushinda ofisinii kwako na siku za weekend ndio inashinda siku nizma
Wenzio tunatafuta kibarua cha full-time bado hatujapata
 
Jiwekee akiba ufungue biashara yako, umuajiri mtu atakayeisimamia mda upo kazini, mida ya jioni munasimamia wote, weekend unasimamia mwenyewe full time.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom