Natafuta ajira halali ama sehemu ya kujitolea kufanya kazi ili niweze kupata uzoefu (nina diploma in Information Technology)

UniqueMan

Member
Sep 7, 2016
62
95
Habari wakuu!

Mimi ni kijana mwenye diploma in Information Technology (IT), natafuta ajira iliyo halali ama mahali popote dar es salaam ambapo naweza kufanya kazi kwa kujitolea ili niweze kupata uzoefu.

Pia, kama kuna fundi wa computer / mobile phone nitashkuru kama atanipa nafasi ya kujumuika nae ili niweze kujiimarisha zaidi kwenye ufundi.

Jinsia: Me
Umri: 24
Mahali napoishi: Dar es Salaam
Elimu: Diploma in Information Technology.Sent using Jamii Forums mobile app
 
crusader_jr

JF-Expert Member
Sep 16, 2019
1,002
2,000
UniqueMan,

Unataka umaanishe kusoma kote iyo kosi bado unashindwa kung'amua cha kufanya kuingiza kipato mpaka ajira
Be serious DUDE you can make it.
 
Bobcheka

Member
Oct 17, 2013
44
125
Nimejisemea tu..!
kama utakosa sehemu, ingia youtube kuna jamaa anaitwa Brad traversy. mwingine anaitwa The net ninja.
 • Traversy media
 • Thenetninja
 • Angele Yu (huyu ame base upande wa ios development)
Hao jamaa wamenisaidia sana upande wa programming, vile vile wana course zao udemy ni usd 9 tu.

Also niko njiani kufungua ka simple restaurant hapa hapa dar. kati ya february na march, nicheki pm tusaidiane kazi kama za kufanya networking + WiFi (cable installation) kuna kazi ambazo zitakupa mwanga kidogo kama :-

 • POS system installation and configuring (P.O.S nime code mwenyewe kwa kujifunza kutoka kwa hao jamaa wawili niliowataja hapo juu)
 • Linux server installation and configuring (tutainstall service kama bind 9 domain name service, isc-dhcp-server, (postfix,doecot,roundcube,fail2ban, ssl certificates na vinginevyo kwa upande wa webmail services)
 • Windows 2012 R2 server installation and configuration. vitu kama virtual enviroments hyper-v na virtual box + plus vingine vingi.
Thanks.
 
Shukrani mkuu, nimeku' PM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Loyalist

JF-Expert Member
Aug 28, 2020
409
1,000
Nimejisemea tu..!
kama utakosa sehemu, ingia youtube kuna jamaa anaitwa Brad traversy. mwingine anaitwa The net ninja.
 • Traversy media
 • Thenetninja
 • Angele Yu (huyu ame base upande wa ios development)
Hao jamaa wamenisaidia sana upande wa programming, vile vile wana course zao udemy ni usd 9 tu.

Also niko njiani kufungua ka simple restaurant hapa hapa dar. kati ya february na march, nicheki pm tusaidiane kazi kama za kufanya networking + WiFi (cable installation) kuna kazi ambazo zitakupa mwanga kidogo kama :-

 • POS system installation and configuring (P.O.S nime code mwenyewe kwa kujifunza kutoka kwa hao jamaa wawili niliowataja hapo juu)
 • Linux server installation and configuring (tutainstall service kama bind 9 domain name service, isc-dhcp-server, (postfix,doecot,roundcube,fail2ban, ssl certificates na vinginevyo kwa upande wa webmail services)
 • Windows 2012 R2 server installation and configuration. vitu kama virtual enviroments hyper-v na virtual box + plus vingine vingi.
Thanks.
Watu kama nyinyi hapa jf wachache sana!

Hongera sana mkuu!
 
KIDTVTC

Member
Jan 8, 2019
90
95
Habari wakuu!

Mimi ni kijana mwenye diploma in Information Technology (IT), natafuta ajira iliyo halali ama mahali popote dar es salaam ambapo naweza kufanya kazi kwa kujitolea ili niweze kupata uzoefu.

Pia, kama kuna fundi wa computer / mobile phone nitashkuru kama atanipa nafasi ya kujumuika nae ili niweze kujiimarisha zaidi kwenye ufundi.

Jinsia: Me
Umri: 24
Mahali napoishi: Dar es Salaam
Elimu: Diploma in Information Technology.Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania Rural Empowrnment Organization-TAREO, Nia asasi isyo kuwa ya kiserikali yenye makao yakee makuu Moshi,Kilimanjaro.
Asasi hii inafanya kazi na jami hususani za vijijini.
Tunapenda kutangaza nafasi ya kujitolea kufanya kazi kwa kipindi cha miezi mitatu ,sita au mwaka mmoja (3-12 ) katika vituo vyetu visuatavyo.
1. SHULEYA AWALI NA KITUO CHA VIJANA MAJENGO,MOSHI (Hii bi shule inayo fundisha watotot wadogo wa kati ya miaka 2-6
Tunahitaji waalimu wa kujitole.
2. MAJENGO VOCATIONAL TRAINING CENTRE, Ni kituo cha mafunzo ya ufundi stadi ,kilimo na ujasiriamali.
KINATOA MAFUNZO KWA AKINA MAMA,VIH=JANA NA JAMII ZA KATA ZA kahe.
3. MOSHI INSTITUTE OF TECHNOLOGY-MIT,CHO CHA UFUNDI STADI NA TECHNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILINO,Kipo moshi mjini.
4.HIMO ICT CENTRE;
Hiki ni kutuo cha mafunzo ya TEHAMA ,huduma za internet na stationary, kulicho HIMO-MOSHI
KWA YEYOTE ATAKAYE PENDA WASILIANE NASI AU ATUME BARUA NA CV ZAKE KWA EMIAL...info@tareo-tz,org au simu no.
o717157659/0754469894.
Kwa wanaohitaji watume CV zao kwa email:
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom