Natafuta address (anuani) ya Ofisi ya Uvuvi Kigamboni au Kunduchi beach

Shekuna

JF-Expert Member
May 5, 2014
688
549
Habari Wana J.F,,
Ninahitaji Anuani Ya Ofisi Ya Fisheries Feri-kigamboni Au Kunduchi Beach Kwa Yeyote Anayefahamu Anijuze.
 
Umeona au bado?

me nahitaji sanduku la barua la sehem tajwa hapo juu na ni kwaajili ya kuwaandkia barua kwa ajili ya project ya advance,device yang haifungui link ya hapo juu,please nisaidie
 
Back
Top Bottom