Natafta Mnunuzi wa mahindi alieko Dodoma

incredible terminator

JF-Expert Member
Aug 1, 2016
2,229
3,524
Wanajukwaa hii inaweza kuwahusu kwa aslimia kubwa wakazi wa dodoma mjini na viunga vyake nina magunia 5, ya mahindi ninauza ninapenda kwa mnunuzi aliepo maeneo ya dodoma atakae kuwa tayari kununua mahind kwa kuyapima kwa njia ya debe (yaani ndoo kubwa) kwa Tz sh 11,000 kumi na moja, anichek kwa 0753056111
NB
Siuzi kwa njia ya gunia napima kwa njia ya debe!
 
Hyo bei labda kama we ni dalali...
 
Kwa dom hapa debe halijafika huko Mzazi,punguza debe 8k nitume Kirikuu chaap
Uko sehem gan kwanza mkuu maana town bei ya reja reja ni 12,000 na ushahid tunao maana tunanunua mi nipo kizota kama utatoa 10k njoo inbobo 0753056111 tofaut na hapo plz naomba niendelee kutunza
 
Back
Top Bottom