Natafta mchumba

mbogo rusaku

New Member
Nov 28, 2016
3
1
Naitwa john Rusaku Nina miaka 27,
Napenda sana maisha ya ndoa,mwenyezi mungu alinijalia nikapata kazi serikalini,ila wanawake wote walionipenda walikuja wakiwa kimasilahi maana walipofika,walijua wanakuja kuja kuvuna mpunga hatimae wanakuta hali tete,
Sasa nimejaribu ishi na wanawake zaidi ya wawili wote wakaondoka kwa sababu hiyo, pia wote tayari wanakuwa wameshazaa ,hivyo hata sielewi maana maisha Nazidi ona kama sina bahati,
Hivyo naombeni ushauri pia kama kuna atakaekuwa tayari kuolewa umri usizid miaka 27 pia awe mcha Mungu na awe hajazaa Niko tayari Kufunga ndoa ,ushauri naombeni matusi staki!akipenda nicheki kwa Namba 0716174812 tafadhali usinitukane !
 
Nakupongeza mkuu kwa kujiachia ya moyoni
Ila hapa jf hutakosa mwenza kwani wapo wengi na wao wanahitaji ndoa
Waweza pata ila andaa hela za vocha tu
Wanachati usiku mzima hawa wa jf
Nakutakia uteuzi mwema
 
Nakupongeza mkuu kwa kujiachia ya moyoni
Ila hapa jf hutakosa mwenza kwani wapo wengi na wao wanahitaji ndoa
Waweza pata ila andaa hela za vocha tu
Wanachati usiku mzima hawa wa jf
Nakutakia uteuzi mwema
Asante kaka
 
Back
Top Bottom