Natafta kazi ya uhasibu, afisa mikopo au usimamizi wa miradi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafta kazi ya uhasibu, afisa mikopo au usimamizi wa miradi

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by mamabaraka, Oct 20, 2011.

 1. m

  mamabaraka Member

  #1
  Oct 20, 2011
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 92
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nilimaliza advance diploma in accountancy mwaka 2008, ninao uzoefu wa miaka miwili kwa kazi za uhasibu, afisa mikopo na usimamizi wa miradi, natafta kazi dar es salaam, ninao uwezo wa kutumia komputa vizuri. Pia naweza kuongea kiswahili na kingereza kwa ufasaha. Kwa yeyote anayetaka kuwasiliana nami kwa kazi ili kupata cv zangu na vyeti napatikana kwa email mamabaraka@yahoo.com. Asante
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  Ungekua unataka kazi huku kwetu kigoma ungepata ila sababu we unataka dar,endelea kusubiri tu.
   
 3. Mwakabizzle

  Mwakabizzle Member

  #3
  Oct 20, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  uko tayari kwa mshahara wa laki nne kwa mwezi?
   
 4. m

  mamabaraka Member

  #4
  Oct 20, 2011
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 92
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  haina shida kazi ni kazi ndugu yangu, nitashukuru. Natafta Dar sababu nina familia huku.
   
Loading...