suzie _barbie
JF-Expert Member
- May 2, 2017
- 1,496
- 3,003
Habari zenu wapendwa.Mimi ni msichana in her mid twenties, kiwango changu cha elimu ni degree ya accounting.Najishughulisha na biashara ila upepo hauendi vizuri kwa hyo natafta kazi ya kujitolea ili mradi kuna malipo hata kidogo au kwa wale wanaotafta interns za kufanya kazi ndogondogo niko tayari.
Please kwa wale wenye nia ya kunisaidia karibu PM na msiwe walaghai please.Also kazi yeyote ilimradi inafundishika nafanya siyo lazima ya accounting.Am hard-working and I can work under all working conditions.
NB: niko Daressalaam