baiser
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 1,478
- 2,227
Mimi ni daktar wa mifugo natafta sehemu iwe kama kituo changu cha kupata watu wanaohitaj huduma za mifugo na hiyo kumwongezea wateja mwenye duka kwan ntatoa ushaur wa kitaalum buree na sitahitaj malipo yeyote isipokuwa ni kupata wateja wanaotaka huduma za mifugo ambao ntawacharge pindi ntakapotoa huduma hiyo