Pangechimbika
Huyu jamaa ni mtaalam wa Afya?
Wee thubutu
Awamu hii viongozi na wanachama wa CCM wanaweza kufanya lolote bila ya kusemeshwa.Katika CV yake hajaweka kuhusu afya ila ana Postgraduate ya social work.
Nashauri MAT imtolee tamko mbunge huyu na waliomruhusuChief Medical Officer au Mganga mkuu wa Govt au waziri wa afya,kama ni kweli naomba Mh.Mbunge afikishwe mahakamani
Udaktari kasomea wapi?
Nashauri MAT imtolee tamko mbunge huyu na waliomruhusu
Kwenye mikun.....ya wanaume wa dar kutafuta tezi dumeAwamu hii viongozi na wanachama wa CCM wanaweza kufanya lolote bila ya kusemeshwa.
Gambo aliingia darasani.. Huyu kaamua kuingia Hosp.
Hatujui mwingine ataingia wapi.
Yajayo yanahuzunisha.
We need serious in professional things.