Natafakari tu huyu ndiyo angekuwa Godbless Lema pale Levolosi Health Centre

tatum

JF-Expert Member
Jan 16, 2018
5,786
4,490
DcMp97LWkAA6yX0.jpg
 
Ona huyo mtoto anavyo skilizia maumivu ya sindano ...........yalaahhhhhhh

Ova
 
huyu dogo laaana yake mpaka nchi ipate katiba Mpya mama yake alitudharau sana
 
Ha ha ha ha ha ha ha,dah.Ngoja niongezeke siku za kuishi.Dunia ina mengi tusiyoyajua!
 
Awamu hii viongozi na wanachama wa CCM wanaweza kufanya lolote bila ya kusemeshwa.

Gambo aliingia darasani.. Huyu kaamua kuingia Hosp.

Hatujui mwingine ataingia wapi.

Yajayo yanahuzunisha.
Kwenye mikun.....ya wanaume wa dar kutafuta tezi dume
 
Back
Top Bottom