Natabiri!

mageuzi1992

JF-Expert Member
Apr 9, 2010
2,503
252
Kutokana na rasimu mpya ya katiba kuruhusu mgombea binafsi......natabiri kuwa miongoni mwa wanamakundi ndani ya chao tawala atagombea kama binafsi!!! Ni utabiri tu mipovu isikutoke....
 
Hii haiitaji utabiri kama katiba itaruhusu watakuwepo wengi lakini nadhani kwa kuwa mabaraza yalishodhiwa na wenzetu tutegemee mambo mengi kupingwa.
 
Hapa hakuna utabiri, ni jambo lililo bayana ukizingatia CCM wenyewe waliridhia jambo hili liingie katika katiba mpya ili wao wakikosa na sisi tukose
 
Huu siyo utabiri. Mtabiri shehe Yahaya alishakufa. Hili ni jambo lililo obvious. Kwani ulitegemea something diffrent?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom