Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,108
- 18,325
Kwa jinsi upepo wa siasa za chama cha mapinduzi unavyo kwenda na ukizingatia kilicho tokea pale ZFA ilipo kubaliwa kuwa mwanachama wa FIFA na baadae kuobdolewa, kuna kila dalili umakini ulio onyeshwa na Zanzibar heroes utaleta majanga .
Kwa kupitia mashindano haya Zanzibar imejipambanua kama nchi inayo jitambua yenye watu wanao ipenda nchi yao .
Hawakwenda kama Tanzania visiwani kama vile Tanganyika ilivyo jivika unafiki na kujiita Tanzania bara wakati hakuna Tanzania visiwani au pwani.
Nitafurahi sana Zanzibar ikiipiga Kenya ili Dunia ijue kuna nchi inaitwa Zanzibar inayo ongozwa na Tanganyika kwa kujivika jina jipya LA Tanzania.