Natabiri Zanzibar kutoruhusiwa kushiriki CECAFA mwakani?

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
11,519
2,000
Kwa jinsi upepo wa siasa za chama cha mapinduzi unavyo kwenda na ukizingatia kilicho tokea pale ZFA ilipo kubaliwa kuwa mwanachama wa FIFA na baadae kuobdolewa, kuna kila dalili umakini ulio onyeshwa na Zanzibar heroes utaleta majanga .

Kwa kupitia mashindano haya Zanzibar imejipambanua kama nchi inayo jitambua yenye watu wanao ipenda nchi yao .

Hawakwenda kama Tanzania visiwani kama vile Tanganyika ilivyo jivika unafiki na kujiita Tanzania bara wakati hakuna Tanzania visiwani au pwani.

Nitafurahi sana Zanzibar ikiipiga Kenya ili Dunia ijue kuna nchi inaitwa Zanzibar inayo ongozwa na Tanganyika kwa kujivika jina jipya LA Tanzania.
 
ex1950

Senior Member
Dec 12, 2015
126
250

Hivi ndio kilichopo kichwani mwako ? Badala ya kuwaza mambo ya maana ya uchumi na maendeleo unnawaza mambo ya kipuuzi .
 
Pohamba

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
23,317
2,000
Kwahani, mchanga mwingi

Hahahaaa
Hiyo sehemu inayoitwa mfereji wa wima naskia kulikuwa naabasha wengi sana ukiinama kuchota Maji Watu wana Pima oil ikawalazimu bomba la Maji lifanywe Kama shower kuepuka Watu kuchota Maji huku wameinama
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom