Bramo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 13,160
- 10,007
UtaonaMungu hawez achia Jambo hili.
UtaonaMungu hawez achia Jambo hili.
Natabiri yatakayo tukia katika 2021,
Kwa uwezo nilionao kuona yasio onekana kusikia watu wasio sikia, kusikia harufu usio weza kukisikia nakufichua yalio sirini kabla yakutokea.
Awali ya yote Mwenye haki wangu ataishi Kwa Imani na kamwe hawezi tetereka.
Kitakuwa na mtikisiko kutoka pande zakusini mashariki na Magharibi ya Kati mtikisiko huu utaisumbuwa nchi Ila wenye kusali na wazidi kusali misikitini na makanisani ombea Taifa.
Hali ya fedha uwenda isiwe nzuri Sana kutokana na nchi wahisani kupunguza misaada kutokana na sababu za kiuchumi ktk mataifa Yao ama kutokana na mashari ambayo tunaweza shindwa kuyatekeleza kutokana na hali ya siasa za sasa.
Kutokuwa na vishindo kadhaa k atikaBunge la jamuhuri ya Muungano na uwenda wengi tunaweza tusiamini Ila ndivyo yaweza Kuwa upepo mkali kuto Magharibi na mashariki unaweza kulipiga Bunge letu japo naiman Mungu atatupitisha salama.
Ktk Meza ya Taifa patakuwa na mafile magumu kifunguliwa na pia magumu kusomeka na kila wakuu wakiyasoma watakutwa na hali ya usingizi mkali na ndoto zakutisha kiasi ma file hayo yataondolewa nakurudishwa hazina nakufungiwa pasipo kusomwa.
Viongozi wakuu wakitaifa watasumbuliwa na ndoto ndoto zakuwatisha na watashindwa kuzifafanua Ila wakiziweka hapa Zita tafisiriwa japo watashindwa tekeleza kutokana na hofu.
Chakula kitakuwepo Ila bei zitakuwa juu. Hivyo weka akiba ya chakula.
Hali ya ajira bado haitokuwa nzuri vijana tujiongeze tutafute suluhu ya hili kwa kujikita ktk ujasiriamali.
Kutatokea mabadiliko madogo ktk Baraza la mawaziri na mabadiliko makubwa Kwa wakuu wa mikoa, wilaya na wakurugenzi.
Mtikisiko ktk sekta ya ajira sekta binafsi utalitesa Taifa na huwenda kama serikali haitochukua hatuwa watu wengi watakosa ajira nakufunga Biashara. Nilazima tuishi Kwa akili.
Ni mwaka wa baraka ila ni mwaka mgumu Sana.
Ends
Huu ni utabiri naandika kile nasikia niandike. Natabiri haya tusali na sio tusubiri yatokee japo yapo yatakayo tokea no way.
Somen vyema huu utabiri. Hakuna kitakacho pita bila tokeaNatabiri yatakayo tukia katika 2021,

Soma vizuriHakuna kitu hapo kila kitu kipo wazi
Soma vizuriUtabiri mwepesi sana.
Hakuna utabiri hapo,hizo ni hekaya tuu. Utabiri ni ule wa Lema tuu.Somen vyema huu utabiri. Hakuna kitakacho pita bila tokea
Aisee Lema hatari sana.Hakuna utabiri hapo,hizo ni hekaya tuu. Utabiri ni ule wa Lema tuu.
Bei ya vyakula mbona haijapandaSomen vyema huu utabiri. Hakuna kitakacho pita bila tokea
Kufa kupo , tuna viongozi wengi wana underlining issues na umriNa mtu mkubwa atakata moto mwaka huu.
Kwani Lema alitabiri nini? Tukumbushane tafadhali!Hakuna utabiri hapo,hizo ni hekaya tuu. Utabiri ni ule wa Lema tuu.
Boss baraka umeziona au bado?Unakuaje mwaka mgumu Sana halafu uwe wa baraka?