Natabiri yafuatayo yatatokea

Mimi siyo mganga kama MziziMkavu au Mshana Jr , mimi sina kinyongo kama Kitimoto pia mimi nipo timamu kabisa sina mizengwe kama Dj DON NALIMISON wala mimi siyo intelijensia kama Infantry Soldier
Natabiri yafuatayo;
Kwenye hii miezi mitatu yaani watisa, kumi na kumi na moja yafuatayo yatatokea.
1- Ongezeko la ID nyingi zitakazo Kuwa na mlengo wa kuishambulia JamiiForums pamoja na serikali.

2- Kuna member aliye potea jukwaa zaidi ya miaka 3 na si chini ya miaka 2 ataonekana jukwaani.

3- Kuna member maarufu sana humu jukwaani atapata life ban(Permanent ban)

4- Ongezeko la Temporary ban kwa member wengine (Zaidi ni Member maarufu)

5- Viongozi wa ngazi za juu serikalini watakuja kwa ID fake.

6- Kuna mwana JF atapata teuzi serikalini

Hayo ni baadhi, hivyo nitaendelea kuwajuza.

Mimi ni mtu kutoka kuzimu, karibuni kuzimuni 🗿
The return of 🗽Dead Man
Kila heri kwa utabiri au ubashiri wako. Tunasubiri tuone.
 
Back
Top Bottom