Mimi siyo mganga kama MziziMkavu au Mshana Jr , mimi sina kinyongo kama Kitimoto pia mimi nipo timamu kabisa sina mizengwe kama Dj DON NALIMISON wala mimi siyo intelijensia kama Infantry Soldier
Natabiri yafuatayo;
Kwenye hii miezi mitatu yaani watisa, kumi na kumi na moja yafuatayo yatatokea.
1- Ongezeko la ID nyingi zitakazo Kuwa na mlengo wa kuishambulia JamiiForums pamoja na serikali.
2- Kuna member aliye potea jukwaa zaidi ya miaka 3 na si chini ya miaka 2 ataonekana jukwaani.
3- Kuna member maarufu sana humu jukwaani atapata life ban(Permanent ban)
4- Ongezeko la Temporary ban kwa member wengine (Zaidi ni Member maarufu)
5- Viongozi wa ngazi za juu serikalini watakuja kwa ID fake.
6- Kuna mwana JF atapata teuzi serikalini
Hayo ni baadhi, hivyo nitaendelea kuwajuza.
Mimi ni mtu kutoka kuzimu, karibuni kuzimuni
The return of Dead Man
HahahaNaona unaanza kurudi kwa kasi mkuu, maktaba yako hukuichoma moto.
Alilo ingia LwandaMagereSiku hizi Gamboshi hapana jipya kuna chimbo jipya hapo ziwa Tanganyika ni noma
Mimi ni mtu kutoka kuzimu, karibuni kuzimuni 🗿
The return of 🗽Dead Man
Ulikuwa ndo unmaliza kula, kunywa au kuvuta nini ulipoandika uzi huu?Mimi siyo mganga kama MziziMkavu au Mshana Jr , mimi sina kinyongo kama Kitimoto pia mimi nipo timamu kabisa sina mizengwe kama Dj DON NALIMISON wala mimi siyo intelijensia kama Infantry Soldier
Natabiri yafuatayo;
Kwenye hii miezi mitatu yaani watisa, kumi na kumi na moja yafuatayo yatatokea.
1- Ongezeko la ID nyingi zitakazo Kuwa na mlengo wa kuishambulia JamiiForums pamoja na serikali.
2- Kuna member aliye potea jukwaa zaidi ya miaka 3 na si chini ya miaka 2 ataonekana jukwaani.
3- Kuna member maarufu sana humu jukwaani atapata life ban(Permanent ban)
4- Ongezeko la Temporary ban kwa member wengine (Zaidi ni Member maarufu)
5- Viongozi wa ngazi za juu serikalini watakuja kwa ID fake.
6- Kuna mwana JF atapata teuzi serikalini
Hayo ni baadhi, hivyo nitaendelea kuwajuza.
Mimi ni mtu kutoka kuzimu, karibuni kuzimuni 🗿
The return of 🗽Dead Man
Poa mwanangu nakuelewaTutaelewana tu
Mimi siyo mganga kama MziziMkavu au Mshana Jr , mimi sina kinyongo kama Kitimoto pia mimi nipo timamu kabisa sina mizengwe kama Dj DON NALIMISON wala mimi siyo intelijensia kama Infantry Soldier
Natabiri yafuatayo;
Kwenye hii miezi mitatu yaani watisa, kumi na kumi na moja yafuatayo yatatokea.
1- Ongezeko la ID nyingi zitakazo Kuwa na mlengo wa kuishambulia JamiiForums pamoja na serikali.
2- Kuna member aliye potea jukwaa zaidi ya miaka 3 na si chini ya miaka 2 ataonekana jukwaani.
3- Kuna member maarufu sana humu jukwaani atapata life ban(Permanent ban)
4- Ongezeko la Temporary ban kwa member wengine (Zaidi ni Member maarufu)
5- Viongozi wa ngazi za juu serikalini watakuja kwa ID fake.
6- Kuna mwana JF atapata teuzi serikalini
Hayo ni baadhi, hivyo nitaendelea kuwajuza.
Mimi ni mtu kutoka kuzimu, karibuni kuzimuni
The return of Dead Man
HapohapoAlilo ingia LwandaMagere