Natabiri: Vigogo wa CHADEMA kuhama chama kabla ya 2015

Hao wanaotaka kuhama kama kweli wapo, basi wanitafute niwape ushauri mzuri zaidi! Kama wameshindwa kuleta mageuzi ndani ya chama chao kidogo kama Chadema wakaamua kukimbia -Wataweza vipi kuleta mageuzi Kitaifa.. Kafulila kisha fulia, amebakia mbunge ile nguvu alokuwa nayo kitaifa imeshapotea kama walivyopoteza viongozi wengine wote waliotangulia...
 
Mtoa mada anaonekana kama gamba hivi!! Tena inawezekana katumwa.

co ilo 2. Inaonekana anajaribu kupandikiza mawazo hayo kwenye vichwa vyepec ili wazo lisambae na kufanyiwa kazi na wacoelewa nini democrasia maana yake
 
Baada ya vugu vugu kubwa la uchaguzi na harakati nyingi na majungu mengi pamoja na vurugu za hapa na pale baina ya vyama vya siasa na mengineyo,naweza KUTABIRI wazi kutokana na habari nilokuwa nazo ( usiniulize nimezipata wapi ) kuna kila aina ya dalili kutoka kwa baadhi ya vigogo wa chama cha CHADEMA kuhama chama kutokana na baadhi ya viongozi hao kutokubaliana na mwenendo wa chama hicho...

Naweza nikataja majina ya baadhi ya viongozi hao lkn inawezekana nikawaharibia harakati zao hizo ama nikazidisha fitna ni bora tu wakayamaliza wenyewe.

Ila ninachowaomba tu endapo watahama ni bora kuhamia vyama vyengine vya upinzani kuliko kwenda kwa mafisadi wa CCM,kwani wakenda huko laana tu ya wananchi itawakumba kama ilivowatokea wenzao walopita,nafikiri mifano ipo Wawaangalie kina Tambwe hiza,Atiki ( wamekutwa wanagombana kwa kulipa mishkaki ) salum msabah ( yupo hoi kitandani ). Nafikri wadau mtawakumbusha na wengine walowahi kutokea.

Bora kina Lwakatare na Pr Safari hata kama hawatajiki kama mwanzo lkn bado heshima zao zipo juu sana na wanakubalika popote,ndio maana nikasema bora kama wana dhamira hiyo basi waende vyama vyengine vya upinzani ama wabakie tu CHADEMA kuliko kwenda CCM
Kama wewe ni mtabiri maarufu, unaonaje ukimtabiria mkeo hiyo mimba aliyo nayo atazaa mtoto wa kike au wa kiume?
 
Nimerudi kidogo baada ya kupitia comments za wadau tofauti, kwangu naona ipo haja ya viongozi wa CHADEMA ambao humu jamvini wamo,waje wakanushe hili na mimi nitakuja na ushahidi wangu. Ili tuondeo dhanna ya kutoaminiana kwa hili tunaloongea, nasema nina dhamira ya dhati,najulikana msimamo wangu humu JF ni mpinzani na msimamo wangu dhidi ya hili dudu CCM.\

Dhamira yangu kuu maisha ni kuukuza upinzani na hasa ushirikiano baina ya vyama vya upinzani,naamini wanaonijua humu kwa muda mrefu basi wakirudisha nyuma kumbukumbu zao watakumbuka baadhi ya thread zangu za ushirikiano wa upinzani.
Mbona CUF wanashirikiana na CCM, wanawezaje kushirikiana tena na upinzani? Kwani wapinzani wanamalengo sawa mpaka washirikiane? Watanzania tunahitaji chama cha upinzani chenye nguvu na sera zinazotekelezeka na sio muungano wa upinzani usio na malengo sawa.
 
Bila shaka CDM imekwisha vuka hatua ya kuangalia ni nani anahama chama. Kabouru aliondoka kwa bei ya pesa taslimu na ubunge Afrika mashariki, lakini chama kimeendelea kushamiri. CDM inatakiwa ku-focus kwenye nini watafanya 2015 baada ya kuchukua nchi. Cheyo anaweza kuondoka UDP ikayumba sana, au Mtikila kwa chama chake, lakini kama kuna mwanachama yeyote ndani ya CDM anayedhani anaweza kukiathiri chama kwa kuhama, huyo ni wa kuhurumiwa.

Mkuu uko sawa kabisa mfano mzuri madiwati wetu Arusha walidhani wao ni kila kitu ndani ya CDM, wako wapi na je chama kimeyumbishwa na usaliti wao????
 
Baada ya vugu vugu kubwa la uchaguzi na harakati nyingi na majungu mengi pamoja na vurugu za hapa na pale baina ya vyama vya siasa na mengineyo,naweza KUTABIRI wazi kutokana na habari nilokuwa nazo ( usiniulize nimezipata wapi ) kuna kila aina ya dalili kutoka kwa baadhi ya vigogo wa chama cha CHADEMA kuhama chama kutokana na baadhi ya viongozi hao kutokubaliana na mwenendo wa chama hicho...

Naweza nikataja majina ya baadhi ya viongozi hao lkn inawezekana nikawaharibia harakati zao hizo ama nikazidisha fitna ni bora tu wakayamaliza wenyewe.

Ila ninachowaomba tu endapo watahama ni bora kuhamia vyama vyengine vya upinzani kuliko kwenda kwa mafisadi wa CCM,kwani wakenda huko laana tu ya wananchi itawakumba kama ilivowatokea wenzao walopita,nafikiri mifano ipo Wawaangalie kina Tambwe hiza,Atiki ( wamekutwa wanagombana kwa kulipa mishkaki ) salum msabah ( yupo hoi kitandani ). Nafikri wadau mtawakumbusha na wengine walowahi kutokea.

Bora kina Lwakatare na Pr Safari hata kama hawatajiki kama mwanzo lkn bado heshima zao zipo juu sana na wanakubalika popote,ndio maana nikasema bora kama wana dhamira hiyo basi waende vyama vyengine vya upinzani ama wabakie tu CHADEMA kuliko kwenda CCM

You could as well predict your own death before 2015...just like your role model the late Sheikh Yahya Hussein
 
you are right... ni kawaida ya siasa changa kama za tanzania, haihitaji utabiri
 
Hivi hata kam ni utabiri huu umezidi! Kwa nini usitabiri CCM itakufa muda si mrefu kwa kuwa ina migogoro iliyo wazi kabisa. Lakini yote hayo hujaoni unakimbilia CDM ambako hata kama kuna migogoro siyo kama ya wanaCCM! Jamani tuwe tunafikiri kabla ya kupost.
Wagombanao ndio wapatanao. Ndugu wawili wakigombana chukua jembe ukalime wakipatana chukua kapu ukavune.
 
Baada ya vugu vugu kubwa la uchaguzi na harakati nyingi na majungu mengi pamoja na vurugu za hapa na pale baina ya vyama vya siasa na mengineyo,naweza KUTABIRI wazi kutokana na habari nilokuwa nazo ( usiniulize nimezipata wapi ) kuna kila aina ya dalili kutoka kwa baadhi ya vigogo wa chama cha CHADEMA kuhama chama kutokana na baadhi ya viongozi hao kutokubaliana na mwenendo wa chama hicho...

Naweza nikataja majina ya baadhi ya viongozi hao lkn inawezekana nikawaharibia harakati zao hizo ama nikazidisha fitna ni bora tu wakayamaliza wenyewe.

Ila ninachowaomba tu endapo watahama ni bora kuhamia vyama vyengine vya upinzani kuliko kwenda kwa mafisadi wa CCM,kwani wakenda huko laana tu ya wananchi itawakumba kama ilivowatokea wenzao walopita,nafikiri mifano ipo Wawaangalie kina Tambwe hiza,Atiki ( wamekutwa wanagombana kwa kulipa mishkaki ) salum msabah ( yupo hoi kitandani ). Nafikri wadau mtawakumbusha na wengine walowahi kutokea.

Bora kina Lwakatare na Pr Safari hata kama hawatajiki kama mwanzo lkn bado heshima zao zipo juu sana na wanakubalika popote,ndio maana nikasema bora kama wana dhamira hiyo basi waende vyama vyengine vya upinzani ama wabakie tu CHADEMA kuliko kwenda CCM

utabiri wako ni sawa sawa na ngivu za kiza
 
Kwa hiyo upeo wa akili
yako ndo umegota hapa?
 
Nguvu ya CHADEMA kwa sasa haipo kwa viongozi wake ipo kwa wananchi ambao kwa kweli sijui wako wangapi na wanauwezo kiasi gani.
Kuongoza CHADEMA hakutokani na Kuwazidi wenzako akili bali Kuaminiwa na wenzako.
Hakuna kiongozi aliyewekwa awe KIGOGO ndani ya CHADEMA.
CHADEMA ni matokeo ya MUDA si matokeo ya WATU FULANI.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Back
Top Bottom