Elections 2010 Natabiri-Uchaguzi Igunga hautakuwepo Jumapili

Uchaguzi utakuwepo kwa maana hali ya serikali siyo nzuri kiasi cha kuruhusu kuchezea rsailimali kienyeji namna hiyo! Uchaguzi utafanyika ila utataliwa na vituko vingi sana ambavyo vitaandika historia mpya katika uchaguzi, uchaguzi huu ni zaidi ya simba na yanga.
 
Mzee wa Rula usimpinge mtoa hoja kwa kuwa ametangulia kutoa angalizo ya kuwa anatabiri so huwezi kumlaumu
 
si ndo hao hao walosema watabeba mabango kule kwa obama then wakala rushwa, uchaguzi upo, wewe ulie tu.
 
Uchaguzi utafanyika tu, Ila vituko vitakuwa vingi kabla ya matokeo kupatikana. Hawa jamaa wa kijani lazima watatafuta namna zote za kuchakachua matokeo. CDM inabidi wawe makini sana.
 
Igunga ina mambo!,,ugoni,,bastola viunoni,,hijabu,,risasi,,mihelkopta,,vijana kuota jua kama solar panel,,,na sasa UNAJIMU!
 
Back
Top Bottom