Natabiri mwaka 2025 rais mtarajiwa atakuwa mzee Mangula

Blackafrica

Senior Member
Jun 26, 2021
141
401
Pamoja na umri wake kuwa mkubwa, lakini hakuna shaka akipewa majukumu ya urais atayaweza kikamilifu, kwani sifa zote anazo ni muadilifi na mzalendo. Hawa wengine wanaopigiwa chapuo kuwa marais naona hakuna wa kumzidi huyu mjamaa

Ccm mkitaka wananchi tuwaelewe mwaka 2025 mtuletee mzee Mangula, pia huyu mzee anatokea kanda ambayo ina wananchi wenye uchungu sana na nchi hii, ifike mahari mikoa ya Iringa, Mbeya, Songea, Sumbawanga itoe rais, ule mchaka mchaka wa Magufuli utakuwa mara mia na watanzania tutapa maendeleo ya nguvu

Tuachane na hawa viongozi ambao hawana ujasili wa kuitetea nchi, wao ni kujibembeleza tu kwa wazungu wawaonee huruma, nchi itakuwa haipigi hatua zozote za maendeleo, kazi kwetu wananchi tumpiganie huyu mzee wa CCM awe rais kwa sharti pia atuletee katiba mpya.

Team Mangula nyoooshaaaa mikono juuuu!!!
 
Yani mnakuwa vichwa ngumu sana kama nazi, basi wacha tuandike kwa herufi kubwa.

TUPO BEGA KWA BEGA NA MAMA MPAKA 2030

vibaraka wa mabeberu mkileta chokochoko mjiandae kupata dozi safi kutoka vijana wetu wa FFU 😂😜😋
 
Nasikitika sana kuona utabiri kama huu unafeli asubuhi hivi.
 
Utakuta kabisa una familia.
 
Huyu Mangula si mpendi kabisa. Majungu roho mbaya aliyomfanyia Rais Lowasa hatutasahau kamwe.
 
Pamoja na umri wake kuwa mkubwa, lakini hakuna shaka akipewa majukumu ya urais atayaweza kikamilifu, kwani sifa zote anazo ni muadilifi na mzalendo. Hawa wengine wanaopigiwa chapuo kuwa marais naona hakuna wa kumzidi huyu mjamaa

Ccm mkitaka wananchi tuwaelewe mwaka 2025 mtuletee mzee Mangula, pia huyu mzee anatokea kanda ambayo ina wananchi wenye uchungu sana na nchi hii, ifike mahari mikoa ya Iringa, Mbeya, Songea, Sumbawanga itoe rais, ule mchaka mchaka wa Magufuli utakuwa mara mia na watanzania tutapa maendeleo ya nguvu

Tuachane na hawa viongozi ambao hawana ujasili wa kuitetea nchi, wao ni kujibembeleza tu kwa wazungu wawaonee huruma, nchi itakuwa haipigi hatua zozote za maendeleo, kazi kwetu wananchi tumpiganie huyu mzee wa CCM awe rais kwa sharti pia atuletee katiba mpya.

Team Mangula nyoooshaaaa mikono juuuu!!!
2025 ni Mama. Najua sasa anawalia timingi mafisadi anajifanya kama yupo pamoja nao, ila atakuja kuwageuka hawataamini
 
ETTX1gUWsAAMddg.jpeg
 
Yani mnakuwa vichwa ngumu sana kama nazi, basi wacha tuandike kwa herufi kubwa.

TUPO BEGA KWA BEGA NA MAMA MPAKA 2030

vibaraka wa mabeberu mkileta chokochoko mjiandae kupata dozi safi kutoka vijana wetu wa FFU 😂😜😋
Huyo bibi yenu 2025 hauziki huyo. Ni sawa na gunia la upupu hakuna atakaye kulibeba. Tafuteni mwingine. Ila mnaweza kuendelea naye maana hamtegemei kura kuupata ushindi wa uchaguzi.
 
Pamoja na umri wake kuwa mkubwa, lakini hakuna shaka akipewa majukumu ya urais atayaweza kikamilifu, kwani sifa zote anazo ni muadilifi na mzalendo. Hawa wengine wanaopigiwa chapuo kuwa marais naona hakuna wa kumzidi huyu mjamaa

Ccm mkitaka wananchi tuwaelewe mwaka 2025 mtuletee mzee Mangula, pia huyu mzee anatokea kanda ambayo ina wananchi wenye uchungu sana na nchi hii, ifike mahari mikoa ya Iringa, Mbeya, Songea, Sumbawanga itoe rais, ule mchaka mchaka wa Magufuli utakuwa mara mia na watanzania tutapa maendeleo ya nguvu

Tuachane na hawa viongozi ambao hawana ujasili wa kuitetea nchi, wao ni kujibembeleza tu kwa wazungu wawaonee huruma, nchi itakuwa haipigi hatua zozote za maendeleo, kazi kwetu wananchi tumpiganie huyu mzee wa CCM awe rais kwa sharti pia atuletee katiba mpya.

Team Mangula nyoooshaaaa mikono juuuu!!!

Una habari mpya kuhusu omicron? Kwani Lema naye keshaanza kupata maono yenye hayaelewi elewi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom