Natabiri Lowassa kurudi CCM kabla ya 2020 na Magufuli kutawala kwa miaka 5 tu

Mr Hero

JF-Expert Member
Jun 11, 2015
5,542
7,450
Jamani mimi sio mpiga ramli wala mshirikina.

Kwa hali inayoendelea ndani ya serikali na ndani ya CCM, kuna uwezekano mkubwa sana Lowassa kurudi CCM kabla ya 2020 na kuja kupambana katika kuteuliwa Jina la kupeperusha bendera ya CCM 2020.

Ukweli ni ukweli tu japo wale wafia rangi ya kijani ukiwauliza utendaji wa Magufuli wanaonaje? Kwa unafiki watasema wanamkubali kwa 100% ukweli kuwa wapo kinyume, japo hawasemi, amewabana Kila sehemu ametaka kuonekana mtawala au mfalme, sasa ni dhahiri wamemchoka lakini hayo yatakuja baadae kudhihirika.

Lowassa bado ana ushawishi mkubwa ndani ya CCM, hata akirudi nguvu kubwa anayo kuzidi Magufuli ndani ya Chama.

Tuombe uzima na afya tufike hiyo 2020.

In shaa Allah!
 
Yote yote yanawezekana
images-18.jpeg

ZE DON KING.

SWISSME
 
CCM tumeshaweka Get Valve. Anayetoka ni ngumu kurejea tena. Lowasa akirudi CCM ni kwa mapenzi hake ila sisi hatumhitaji tena. Hata ujumbe wa nyumba kumi hawezi kupata
 
Natabiri Dk Hussein Nwinyi atagombea kupitia CCM na atashindwa na Lowassa wa CHADEMA.Panapo majaaliwa kama kawaida Monduli mwisho wa mwaka.
 
Jamani mimi sio mpiga ramli wala mshirikina.

Kwa hali inayoendelea ndani ya serikali na ndani ya CCM, kuna uwezekano mkubwa sana Lowassa kurudi CCM kabla ya 2020 na kuja kupambana katika kuteuliwa Jina la kupeperusha bendera ya CCM 2020.

Ukweli ni ukweli tu japo wale wafia rangi ya kijani ukiwauliza utendaji wa Magufuli wanaonaje? Kwa unafiki watasema wanamkubali kwa 100% ukweli kuwa wapo kinyume, japo hawasemi, amewabana Kila sehemu ametaka kuonekana mtawala au mfalme, sasa ni dhahiri wamemchoka lakini hayo yatakuja baadae kudhihirika.

Lowassa bado ana ushawishi mkubwa ndani ya CCM, hata akirudi nguvu kubwa anayo kuzidi Magufuli ndani ya Chama.

Tuombe uzima na afya tufike hiyo 2020.

In shaa Allah!

KWanini asipambanie UKAWA, maana atamwangusha Magufuli kirahisi akiwa UKAWA.
Sasa swali kwanini asipambane huko aliko?
 
Back
Top Bottom