Natabiri kutokea kwa mambo haya manne kutokana na serikali kubana matumizi


S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
31,746
Likes
64,617
Points
280
S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2012
31,746 64,617 280
Mosi,vigogo na watumishi wengi kwenye taasisi za umma kukimbilia kwenye mabenki kuchukua mikopo kukamilisha shughuli mbalimbali walizokuwa wamezianza au walikuwa wanaziendeleza katika awamu iliyopita kama vile shughuli za ujenzi wa nyumba za kuishi, kukamuilisha malipo ya ununuzi wa viwanja na miradi mingine ya binafsi waliyokuwa wakiiendesha kwa kutegema posho za safari, vikao, semina,makongamano na mambo mengine ya aina hiyo.

Pili, natabiri kudorora kwa kiasi kikubwa kwa shughuli za ujenzi kwenye maeneo mengi yenye shughuli za ujenzi.

Tatu,natabiri mapato ya serikali yanayotokana na kodi ya mauzo ya vifaa vya ujenzi kushuka sana.

Nne,natabiri mafundi wengi na vibarua wengi wa shughuli za ujenzi kukosa kazi maana wa kuwapa kazi nao mifuko imekauka.

Hii ni kutokana na ukweli kwamba watu wengi humudu kufanya shughuli za ujenzi,hasa ujenzi wa nyumba za kuishi, ununuzi wa viwanja,n.k, kwa kudunduliza hela za semina,safari,vikao, makongamano,madili ya maofisini na mikopo ya benki(sasa watalazimika kukopa zaidi).

Naomba kila mtu afanye tathimini ya speed na kiwango cha shughuli za ujenzi kwenye maeneo yaliyopimwa kwa ajili ya shughuli hizi kwa kulinganisha na miezi 7 iliyopita.
 
kagwima

kagwima

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2016
Messages
660
Likes
476
Points
80
kagwima

kagwima

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2016
660 476 80
Ngoja tusubiri huo utabir utokee mkuu
 
mattargsm

mattargsm

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2016
Messages
394
Likes
140
Points
60
Age
48
mattargsm

mattargsm

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2016
394 140 60
Sio kosa kuengeza
 
Sophist

Sophist

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2009
Messages
3,717
Likes
2,219
Points
280
Sophist

Sophist

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2009
3,717 2,219 280
Sasa wewe ndugu huu ni utabiri gani wa mambo 2 halafu unataja mambo 4 wakati ambapo umezungumzia jambo 1 tu, ujenzi, ambalo umelinyumbua na kulizungumzia mara 4?
 
Hijja Madava

Hijja Madava

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2014
Messages
2,679
Likes
459
Points
180
Hijja Madava

Hijja Madava

JF-Expert Member
Joined May 14, 2014
2,679 459 180
mimi ni mjenzi kusema kweli familia ya watoto wawili inataka kunishinda nafikiri tu kwenda kijijini tangia msukuma aingizwe ukuu mi sijapata hata tenda ya japo hta lak5 naishi kwa mikopo sa iv na maisha yanaelekea kunishinda sijajua wazo la kumpa urais nani alitoa jamani anaua watoto wetu na nja
 
NG'HOMELE

NG'HOMELE

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2014
Messages
467
Likes
109
Points
60
Age
31
NG'HOMELE

NG'HOMELE

JF-Expert Member
Joined Jan 13, 2014
467 109 60
ndugu unaukoo na shekhe Yahya? mana uko mulemule aisee
 
Dr.adams faida

Dr.adams faida

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2013
Messages
1,443
Likes
1,959
Points
280
Dr.adams faida

Dr.adams faida

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2013
1,443 1,959 280
Sasa hapo unatabiri nn hivi unawezaje kutabiri kitu kilichotokea na kinachoendelea kutokea"?nyinyi ndo watabiri hewa ambao tunawatafuta.
 
K

kirengased

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2016
Messages
2,361
Likes
1,897
Points
280
K

kirengased

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2016
2,361 1,897 280
Vipi hutabiri elimu bure,afya,mishahara na miundombinu kuboreka? Au umespecialize kwenye ujenzi? Usemayo nikweli hatahivyo mana yamenikuta
 
Mzingo

Mzingo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2014
Messages
1,163
Likes
1,154
Points
280
Mzingo

Mzingo

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2014
1,163 1,154 280
kuna mtu nimemkopesha kahela fulani,sijui nilifikiria nini aisee, Mungu amsaidie anirudishie
 
K

kimeloki

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Messages
2,261
Likes
1,466
Points
280
K

kimeloki

JF-Expert Member
Joined Jul 9, 2012
2,261 1,466 280
Hatari lakini salama
 
D

Daisam

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2016
Messages
1,345
Likes
726
Points
280
D

Daisam

JF-Expert Member
Joined May 23, 2016
1,345 726 280
Ndugu zangu watanzania, tutapata shida kwa muda mfupi lakini baada ya muda kupita Tanzania itakuwa ni nchi yenye kupiga hatua kubwa sana za maendeleo hasa katika miundombinu, afya, elimu nk.
 
Elungata

Elungata

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Messages
29,874
Likes
11,746
Points
280
Elungata

Elungata

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2011
29,874 11,746 280
Ndugu zangu watanzania, tutapata shida kwa muda mfupi lakini baada ya muda kupita Tanzania itakuwa ni nchi yenye kupiga hatua kubwa sana za maendeleo hasa katika miundombinu, afya, elimu nk.
sidhani kama rekodi ya jk ya miundo mbinu itavunjwa,wala ya elimu na pia afya,,kwa wakurugenzi wetu hawa wenye certificate za hoteli management...
 
kanyela mumo

kanyela mumo

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2016
Messages
1,381
Likes
1,152
Points
280
Age
2
kanyela mumo

kanyela mumo

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2016
1,381 1,152 280
Siku zote nilizoea kulala njaa mpaka nipende ila soon nahisi ntalala njaa bila kupenda., Ehee Mungu nisaidie.
 
Denis denny

Denis denny

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2012
Messages
5,774
Likes
7,599
Points
280
Denis denny

Denis denny

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2012
5,774 7,599 280
Na vipeperushi vya waganga wa kienyeji wanaotoa utajiri vinazidi kuongezeka mtaani,kweli mambo ni magumu
 
G.Jacob

G.Jacob

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2013
Messages
2,733
Likes
2,119
Points
280
G.Jacob

G.Jacob

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2013
2,733 2,119 280
Ungeandika hivi "Majibu ya utafiti, baada ya Serikali kubana matumizi" ningekuelewa mkuu.
 

Forum statistics

Threads 1,235,997
Members 474,928
Posts 29,242,784