Natabiri kutokea kwa ajali kubwa ya Treni

Baba Matatizo

JF-Expert Member
May 5, 2011
334
64
Nasikitika kuona serikali imetususa kabisa.Juzi nilikutana na madereva wa treni zaidi ya wa 5 wakilalamikia ubovu wa reli,na uchakavu wa engine.Baada ya magenge kuvunjwa na wale wahind koko ubovu wa reli umeimarika mara dufu.Sehemu ambazo walikuwa wanapita na spid 70 sasa wanapita kwa spid 40.Pia wanasema engine nying hazina viwango na kufel break ni rahis sana...,bila kusahau abiria weng huwa tunapanda bila ya kuwa na ticket hivyo kusababisha msongamam mkubwa.Hakuna pa kulalamikia zaidi ya hapa jamvini.Pia usisahau kwamba kila kukicha haya madude yana acha njia jaman.
 
Hawa madereva wa treni wagome kuendesha treni juu ya reli mbovu mbovu kuepusha ajali na vifo kwa wasafiri. Yule captain wa meli iliyozama wiki iliyopita kule visiwani angekuwa jasiri na kugoma kuendesha meli mbovu iliyosheheni mizigo na abilia leo hii wale marehemu wangekuwa hai!! Wananchi acheni woga muwe jasiri.
 
kwa nini wasigome kama hawasikilizwi? au wa o sio chadema? si unajua waarabu wengi ni chadema..egypt tunisia na syria

kabisa..
na hao madereva kama wameshajua maisha ya watu yako
hatarini kwanini wanataka kubeba lawama? ..
 
Swala hapo siyo kugoma ila waimarishe miundombinu na kununua treni mpya. Hayo mambo yote yapo kwenye mikakati ya serikali ya awamu ya nne. Kinachosubiri ni muda tu.
 
Swala hapo siyo kugoma ila waimarishe miundombinu na kununua treni mpya. Hayo mambo yote yapo kwenye mikakati ya serikali ya awamu ya nne. Kinachosubiri ni muda tu.

mkuu
jamaa hapo juu amesema kuna matatizo sasa hivi..
hivyo vyombo vya usafiri si salama ..
mpaka hiyo treni mpya ije ni lini??
na ushauri wako hapa ni nini ??(serikali ya awamu ya nne??? nadhani unatania)
waendelee kutumia hizo treni au??
 
Kama kununua hizo treni mpya kuna maslahi binafsi basi kazi hiyo hata kama treni hizo ni mitumba (used) basi muda si mrefu zitaletwa ili baadae watu wafe na rambirambi zikusanywe, huku tukiunda tume kuchunguza chanzo cha ajali na kusahau tume ya kuchunguza manunuzi ya hivyo vibovu. Kalagabao wa tz.
 
tumeshazoea Tanzania kila siku wanasema haitatokea tena ajali ya mabomu mbagala walisema haitatokea ikaibukia gombs,meli ya mv bukoba wakasema ndo mwisho mara islander tena,tusishange tena tukasikia ile ajli ya treni iliyotokea kutokana nakufeli breki ikatokea tena,mwisho wa siku lazime iundwe tume,hivi nchi hii tuna viongozi kweli?m napata wasiwasi kabisa
 
hawa jamaa hawawezi kugoma sababu za dhiki walizonazo.....lakini wanajua kwamba siku yoyote treni itaua vibaya sana.Lakini hawana jinsi.namuomba MUNGU ANIEPUSHE NA AJALI HIYO mbaya,sababu ni mpenz wa usafiri huo kutokana na kipato changu kidogo.Wakati wa ajali ile ya msagali mkoan dodoma reli na engine vilikuwa na unaafuu kuliko sasa.KWA HIYO TUTEGEMEE MAAFA MAKUBWA KULIKO YALE.SIOMBI AJALI ITOKEE ILA UKWELI NDIO HUO.WAP NIENDE NIKALALAMIKIE?NATAKA NIWASHITAKI HAWA WATU...na hiyo mipango ya kununua na kuboresha miundo mbinu ya reli ni uongo.
 
Shirika hili si laendeshwa na wazalendo? kwanini wasichukue hatua na kuacha kulalamika.
 
Acheni kulalamika. Serikali iko mbioni kurekebisha miundo mbinu ya reli, michakato wa kununua treni mpya imeshafikia pazuri, mikakati iko safi. Bajeti kidogo imepungua lakini hata hivyo, jitihada za kuwasiliana na wafadhili zinaendelea vizuri, wakati huo huo mawasiliano kati ya serikali na mwekezaji mpya karibu yanafika mwisho. Bahati mbaya serikali haijajua muda kamili ila inatarajiwa kuwa kabla ya 2061 (50yrs). Tusiwe na hofu ajali haitatokea, na kama itatokea kabla ya utekelezaji wa mpango mkakati na kuua mamia ya watu hiyo ni mapenzi ya Mungu, hata hivyo serikali itatoa ubani kwa wafiwa. Msisikilize malalamiko ya Wapinzani.
 
hutakiwi kutabiri mabaya...aaah sorry ckuwa nimesoma jina lako b4.. "baba matatizo"
 
Acheni kulalamika. Serikali iko mbioni kurekebisha miundo mbinu ya reli, michakato wa kununua treni mpya imeshafikia pazuri, mikakati iko safi. Bajeti kidogo imepungua lakini hata hivyo, jitihada za kuwasiliana na wafadhili zinaendelea vizuri, wakati huo huo mawasiliano kati ya serikali na mwekezaji mpya karibu yanafika mwisho. Bahati mbaya serikali haijajua muda kamili. Tusiwe na hofu ajali haitatokea, na kama itatokea kabla ya utekelezaji wa mpango mkakati na kuua mamia ya watu hiyo ni mapenzi ya Mungu, hata hivyo serikali itatoa ubani kwa wafiwa. Msisikilize malalamiko ya Wapinzani.

Nahisi na WW unafikiri kwa Kutumia Ma...........................o.
 
Kabla ya kumuomba MUNGU atuepushie janga hilo naomba sana sana, tuweke strategy ya ku-adress suala hili< najua hapa kuna media nyingi, tunaombeni sana lichukueni hili mkawahoji hao wajinga huko kuwa kilichowaweka ofisini ni nini? naapa kama likitokea hili mimi sitaomboleza natafuta mtu wa kufa nae.....ujinga mkubwa huu, je mabasi yetu je? Spring zinafungwa kwa kamba za katani??? Halafu utaskia wajinga fulani wakisema "kazi ya MUNGU haina makosa''. Kweli????
 
hao viongozi wetu hao wamengangania china na usa, ujerumani wako sawa sana kwenye miundombinu ya train, si bora tuwarambe hao miguu tupate vijiused vyao
 
ndio tatizo letu watanzania... leo tumegangamala na visababu vya kipuuzi.. eti kwa nini Vodacom hawakuairisha shindano, TFF na simba, maisha club na disco etc etc, hakuna mtu anafikiria kwa nini ajali ile imetokea, wapi tumekosea, tufanyaje ili yasitukute tena manake yalishawahi kutokea tena

We are doomed
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom