Natabiri kususwa, kutengwa kwa Magufuli na kudidimia kabisa kisiasa ifikapo 2020

Lowassa alipojiuzulu watu
Usisahau watanzania kwa unafiki tuko juu

Nyerere watu walikuwa wanapanga foleni kununua unga wa Yanga
na bado walilia alipojiuzulu..
Lowassa alipojiuzulu watu fulani walimtangaza fisadi kwa miaka 8. Hao hao tena alipojiunga Chadema wakasema ni Malaika
 
Usisahau watanzania kwa unafiki tuko juu

Nyerere watu walikuwa wanapanga foleni kununua unga wa Yanga
na bado walilia alipojiuzulu..
Yaliyotokea Moshi ktk Mei Mosi ni ishara ya Unafiki wa Watanzania.... Ile nyomi ilinitisha
 
Watanzania ni wanafiki wa kiwango cha Kimataifa

[HASHTAG]#Wafanyakazi[/HASHTAG] ambao kwa mwaka mzima wamebinywa stahiki zao lkn juzi ktk sherehe za Mei Mosi walijazana Moshi wakiimba na kucheza na Vigelegele .... Hapo ndipo nilipojua kuwa Watanzania tuna matatizo.
 
Mlokua mnadhani magu atakua influencial leader imekula kwenu
Kadri siku zinavyozidi kwenda umaarufu unazidi kufifia kabisa na kuishiwa kabisa kisiasa
Na bado atasuswa na kila mtu kuanzia wabunge, mawaziri, na wananchi
Kila siku anazidi kukosolewa na bado huu ndo mwendo mdundo atazidi kudidimia kisiasa
2020 hakuna atakayemchagua kabisa
Natabiri kuanza kupingwa na kila mmoja na ukosoaji wa kila pande
Wengi watagoma hata kumsindikiza kwenye kampeni kabisa
Namuomba mungu na iwe hivyo
Hakuna lolote,wewe either ni mpinzani au your siphoning pipe has been cut.Sioni baya sana alilolifanya JPM.Aliyoahidi kwenye campaign ndiyo anayofanya.Ofcourse sio malaika,but he is atleast better than Marais wa awamu ya pili,tatu na nne.His biggest problem,mafisadi wanaisoma namba,including wafoji vyeti.Mimi ambae sio fisadi of any kind JPM is super.
 
2020 so swala la ccm na upinzani ni swala la watz wote kwani bila kujali itikadi zetu tumechapika, wanaopunguzwa makazini kwa uchumi kuharibiwa, wanafunzi vyuo vikuu kukosa mikopo, ajira hakuna, walifukuzwa kwa vyeti feki, kuzidi kwa ukosefu wa madawa hospitalini, kauli ngumu za mkulu, km vile bukoba, watz waliokuwa msumbiji, kumkumbatia bashite, , kununua ndege kwa kupiga cha juu, mfumko wa bei, kutopanda mishahara, wafanyabiasha kuumizwa na TRA, na kufilisika kwa mabenk na uchumi kwa ujumla.
Hawa wooooote no maadui wa mkulu kweli ashinde???
Safari hii liwe goli la mikono na miguu kqa pamoja but kwa mkono peke yake hashindiiiiiiiiiiiiiiiii.
 
Wew

Wewe ni lofa na mpumbavu kwa post hii. Sijui umetumia masaburi kuandika?
 
Afanye mabadiriko makubwa ya uongozi ndani ya chama chake aweke wale wanaompenda sana, pia aongeze maslahi kwa Jeshi la Polisi na lile la ulinzi hasa nafasi za juu na ahakikishe Tume ya Taifa ya uchaguzi haibadiriki sana, aiongezee rasilimali watu na ikiwezekana aongeze kuteua Wataalam wa masuala ya uchaguzi kama akina Jecha, 2020 lazima aibuke kidedea.
Nilitabiri
 
2020 so swala la ccm na upinzani ni swala la watz wote kwani bila kujali itikadi zetu tumechapika, wanaopunguzwa makazini kwa uchumi kuharibiwa, wanafunzi vyuo vikuu kukosa mikopo, ajira hakuna, walifukuzwa kwa vyeti feki, kuzidi kwa ukosefu wa madawa hospitalini, kauli ngumu za mkulu, km vile bukoba, watz waliokuwa msumbiji, kumkumbatia bashite, , kununua ndege kwa kupiga cha juu, mfumko wa bei, kutopanda mishahara, wafanyabiasha kuumizwa na TRA, na kufilisika kwa mabenk na uchumi kwa ujumla.
Hawa wooooote no maadui wa mkulu kweli ashinde???
Safari hii liwe goli la mikono na miguu kqa pamoja but kwa mkono peke yake hashindiiiiiiiiiiiiiiiii.
Time will tell
 
Kwa haya madudu anayofanya JPM na CCM yake hawezi kupenya 2020! Tayari ndani ya CCM kuna INTERNAL REVOLT. Lazima uone kwamba hata ushindi wa Magufuli 2015 ni kaa vile alibebwa na NEC sakisaidiana na TISS! Bila hivo ilikuwa aangukie pua. Internal revolt itaondoa huo msaada wa Tume na UWT!!
Yaaaap
 
Naomba nitumie lugha laini na nyepesi kwa wote mlioko ndotoni kuwa magufuli atakosa uungwaji mkono 2020 kutoka kwa Watanzania wengi kuwa ni WAKUPUUZWA. Mwaka 2020 magufuli anaenda kuwa raisi kwa kuchaguliwa kwa asilimia 90 ya wapiga kura.
Ni kweli hata wasipoenda kupiga kura, yeye atapata kura zao kwa wingi.
Mwaka 1949 kwenye uchaguzi wa rais Liberia, uliyofanyika Monrovia(tu), walipiga kura watu laki moja. Rais Tubman alishinda kuwa kura laki tatu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom