Natabiri: Godwin Gondwe atakuwa mkuu wa Mkoa Dar baada ya uchaguzi

Hahahahaha wakikusikia watakuja na povu kama wamelishwa sumu,yaani kule ndani sijui wanawafanya nn vijana wetu maana wakitoka huko akili mbovu kabisa na hapo viroba vimefungiwa
Ipo haja ya kukiokoa kizazi hiki na janja janja ya hayo machadema,

Hilo ni jukumu letu sisi wazalendo wote.
 
Hakuna wa kuziba pengo la Makonda

Rais anafanya Mkutano wa Kampeni Uwanja wa Taifa hakuna amsha amsha wala rabsha rabsha wala heka heka za kusimamisha Jiji

Angekuwa Makonda tungeskia mbwembwe
Kwakweli hata mimi nimeliona hilo, Makonda aliweza kujichanganya na kuhasisha makundi na taasisi mbalimbali za kijamii ikiwemo viongozi wa dini,michezo,wafanyabiashar na n.k, Kunenge amepwaya sana ndiomana leo hii kuna wanadalesalama hawamjui mkuu wa mkoa wao.
Binafsi namkumbuka sana pamoja na mapungufu yake lkn yapo mazuri mengi aliweza kuyafanikisha.
 
Lissu hatomteua , anarudije , hivi kwanini huamini kama Magufuli anapigwa chini ?
Mkuu LISSU ni tishu tishu tishu tishu niamini mimi ni tishu.

Tanzania inahitaji mabadiliko ila sio LISSU.

LISSU NI DIKTETA ZAIDI YA UNAVYOMUONA MSUKUMA JPM (mvinza).

Lissu ana kisasi ambacho hana uhakika nani ampe.

Lissu ni biashara ya mwenye chama na sio wewe.

ILA LISSU NDIO UFUNGUO WETU WA KUJUA KATIKATI YA MAPAJA YA CCM KUNA NINI ambacho katlkati ya mapaja ya lissu itatuchukua mda mrefu kujua ameficha nini.

LISSU, ZITTO mwelekeo wetu ila sio mwongozo wetu.

CUF, MEMBE =CCM
 
Baada ya uchaguzi huu wa 28/10/2020
Namuona DC Gondwe Godwin akiwa RC mpyaa na saaafi kabisa wa Dar es salaam the city of Zaramo.
Asiye taka akae pembeni muda utaamua
Lissu hawezi kuteua Gamba kuongoza Bussines City ya nchi
 
Mkuu LISSU ni tishu tishu tishu tishu niamini mimi ni tishu.

Tanzania inahitaji mabadiliko ila sio LISSU.

LISSU NI DIKTETA ZAIDI YA UNAVYOMUONA MSUKUMA JPM (mvinza).

Lissu ana kisasi ambacho hana uhakika nani ampe.

Lissu ni biashara ya mwenye chama na sio wewe.

ILA LISSU NDIO UFUNGUO WETU WA KUJUA KATIKATI YA MAPAJA YA CCM KUNA NINI ambacho katlkati ya mapaja ya lissu itatuchukua mda mrefu kujua ameficha nini.

LISSU, ZITTO mwelekeo wetu ila sio mwongozo wetu.

CUF, MEMBE =CCM
huna chochote cha kunifundisha , wape taarifa waliokutuma
 
Nimeuliza je wewe umetekwa ama kubakwa????ama unazungumza tu kuwa Kuna wanaofanyiwa hayo ilihali hauna uhakika na hayo usemayo,be carefully maneno ya hovyo yatakuponza!!!!!!sasa hapo tusi liko wapi chiefs
Sasa nimekuelewa mimi nimiongoni mwawatu waliochomewa nyavu halali ilasijasema kubakwa nilichokisema kutekwa
 
Ilikuwaje ukachomewa nyavu mkuu
Kama nilivyo eleza walikuja walejamaa tokomeza uvuvi haram walituomba tuwaonyeshe nyavu zetu tunazotumia kuvulia dagaa ziwa tanganyika iliwazipime sisi tulitekeleza majibu yakawa ziposawa kabisa ila tunataka pesa kama hamna tunazichoma basi hatukuwapa pesa kweli wakachoma na kuchukua engeine hadi sasa wanazo natulikuwa tunavua kwa leseni tokasiku hiyo nimebaki maskini hata kula imekuwa shida kwakweli namchukia magu nasikitika sana 2015 kumpa kura yangu sihami chama ilakura simpi uonevu umezidi
 
Hakuna wa kuziba pengo la Makonda

Rais anafanya Mkutano wa Kampeni Uwanja wa Taifa hakuna amsha amsha wala rabsha rabsha wala heka heka za kusimamisha Jiji

Angekuwa Makonda tungesikia mbwembwe
Kwani Makonda alifukuzwa ukuu wa mkoa? Nini kilimpata huyu kijana machachari?
 
Baada ya uchaguzi huu wa 28/10/2020
Namuona DC Gondwe Godwin akiwa RC mpyaa na saaafi kabisa wa Dar es salaam the city of Zaramo.
Asiye taka akae pembeni muda utaamua
Itategemea na ushindi, Magufuli akipigwa ndio nitolee hiyo ingawa kwa mwonekano wake naweza kumwombea abaki kwenye serikali yoyote!
 
Baada ya uchaguzi huu wa 28/10/2020
Namuona DC Gondwe Godwin akiwa RC mpyaa na saaafi kabisa wa Dar es salaam the city of Zaramo.
Asiye taka akae pembeni muda utaamua
Wakuu Magufuli hashindi uchaguzi wa mwaka huu hata kwa dawa! Juzi nilicheka sana jamaa amekuwa kama amepagawa, nireteeni Gwajimaaa, nireteeeeeeeeeni Gwajimaaaaaa, nireteeeeeeeeeeeeeeeeeeni Gwaaaajimaaaaaaaaahaaaaaa!
 
Back
Top Bottom