Nasumbuliwa sana tumbo

Tafuta asali, changanya na mdalasini, lamba huo mchanganyiko, utakutuliza.
 
Hata maustaz wana dawa za kisunna zinasaidia. Ila usinunue tu ni lazima ukutane na mtaalam.
Kama utajlhitaji hili ni PM tuongee.
 
Pole sana ndugu yangu, usikate tamaa maisha bado ni marefu sana.

Kwanza kabisa jenga imani kuwa utapona halafu ondoa hofu kabisa moyoni mwako.

Acha kunywa vnywaji kama soda, pombe, na vyote vingine vyenye asidi am a vichachu.

Usile maharage sana, wala vyakula vyenye nyanya, wala chipsi.

Tumia asali kwa wingi, kunywa Maji kila SAA. Epuka mawazo au stress, hasira.

Ukiweza kupata mayai ya kienyeji na asali mbichi, changanya yai bichi na asali vjiko vwili ama v3 kisha koroga vchanganyike kisha kunywa, Fanya hvyo asubui na jioni kila siku.

Epuka kukaa bila kula kwa muda mrefu, ukila usishibe sana ila kiasi, kula kdogokidogo Mara kwa Mara.

Tumia mdalasini, mchaichai ama soya kwenye chai epuka sana majani ya chai, pia vtunguu swaumu kwenye chakula ama meza na Maji ya ufuguvugu vpande kadhaa.

Epuka kula vporo, vyakula vya baridi ama vilivyokaangwa kwa mafuta sana, pendelea mchemsho.

Tumia juis ya karot kila siku asubui kabla kula chochote, kula pia matunda kwa wingi ukiweza kuyapata, hasa hasa papai, tikiti, tango nk.

Hayo vote yanasaidia kukupa relief wakati unatumia dawa. Utapona tu, hutakufa, na naomba ufute hiyo kauli katika ulimwengu wa roho. Piga magoti omba na uibatilishe.

Hakika utapona.

Stay Alive!!!
 
Kwa rahabu nilifika.Sifichi baada ya kunitibu pamoja na kufuata masharti yake wakati wa tiba nilipata nafuu kwa miezi 2,kisha gwaride likaendelea!!!
Huyo alishanitibu lakini bado!Alichosaidia ni kuniwezesha kuwa na uwezo wa kula vyakula vingine nilivyokuwa ninashindwa awali!
 
Maendeleo ni mazuri Ila kutokana na wingi wa dawa nilizotumia,sielewi ni ipi ilinisaidia sana!Sasa limebaki tatizo moja la tumbo kujaa gesi!

Pole Mkuu, hili la gesi tafuta wamasai asilia watakusaidia ikiwezekana nenda maeneo yao kama monduli,longido au loliondo wa mjini wajanja wajanja sana
 
Pole sana ndugu yangu, usikate tamaa maisha bado ni marefu sana.

Kwanza kabisa jenga imani kuwa utapona halafu ondoa hofu kabisa moyoni mwako.

Acha kunywa vnywaji kama soda, pombe, na vyote vingine vyenye asidi am a vichachu.

Usile maharage sana, wala vyakula vyenye nyanya, wala chipsi.

Tumia asali kwa wingi, kunywa Maji kila SAA. Epuka mawazo au stress, hasira.

Ukiweza kupata mayai ya kienyeji na asali mbichi, changanya yai bichi na asali vjiko vwili ama v3 kisha koroga vchanganyike kisha kunywa, Fanya hvyo asubui na jioni kila siku.

Epuka kukaa bila kula kwa muda mrefu, ukila usishibe sana ila kiasi, kula kdogokidogo Mara kwa Mara.

Tumia mdalasini, mchaichai ama soya kwenye chai epuka sana majani ya chai, pia vtunguu swaumu kwenye chakula ama meza na Maji ya ufuguvugu vpande kadhaa.

Epuka kula vporo, vyakula vya baridi ama vilivyokaangwa kwa mafuta sana, pendelea mchemsho.

Tumia juis ya karot kila siku asubui kabla kula chochote, kula pia matunda kwa wingi ukiweza kuyapata, hasa hasa papai, tikiti, tango nk.

Hayo vote yanasaidia kukupa relief wakati unatumia dawa. Utapona tu, hutakufa, na naomba ufute hiyo kauli katika ulimwengu wa roho. Piga magoti omba na uibatilishe.

Hakika utapona.

Stay Alive!!!
Naomba kuuliza mkuu wangu,hivi vitu ulivyonishauri natakiwa nitafute vyote na kuvitumia kwa wakati mmoja au naweza anza na kimoja nikatumia labda kwa mwezi mzima ndipo nianze na na aina nyingine?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom