Nasumbuliwa na tatizo la tumbo kuwaka moto

Fohadi

JF-Expert Member
Jul 24, 2020
770
2,408
Habarini wakuu,

Kwa muda mrefu nimekuwa na hili tatizo la tumbo kujaa gesi na kama kuwaka moto...Niliwahi kupima huko nyuma nikaambiwa nina tatizo la vidonda vya tumbo. Nimetumia dawa na dawa ila bado hili tatizo linanisumbua.

naomba wataalamu mnishauri nifanye nini ili kumaliza hili tatizo la kuhisi kama tumbo linawaka moto.

Natanguliza shukrani zangu.
 
Mkuu kama umewahi kupima kipndicha nyuma na ukaambiwa unavyo Vidonda vya tumbo. Basi hivyo vidonda vya tumbo ndio vinavyokutia gesi na tumbo kuwaka moto hujapona hivyo vidonda vyako vya tumbo. Nitafute kwa wakati wako ili niweze kukutibia maradhi yako upate kupona.
 
tunaweza tukayamaliza PM?
 
Nakuibia siri hii japo ni kikribu ila nina matumaini utaelewa
If you are struggling with ulcers,

Start FASTING today.

20 hours of fasting and 4 hours of eating is a good start.

Stay away from refined carbs and refined grains/flour.

Eat enough proteins and raise your stomach acid to the PH 1 -3. The stronger the acid, the healthier the stomach.

There is a lie always peddled out here called ‘hyperacidity’, there is nothing like this honestly.

The acid of the stomach is so conc it can burn a razor blade. The stronger the acid, the tighter the oesophageal valve.

If the stomach juice regurgitates back to the oesophagus and mouth, it means, the oesophageal valve is weak, the acid is weak and therefore H. Pylori will thrive.

So stay away from antacids as much as possible.
 
Mkuu hivi kweli kabisaaaaaaaa umeshindwa kutufahamisha kwa kiswahili?
 
Jamani nna tatizo la mwili kufa ganz na kuwaka Moto haswa nikilala ad usingiz sipati je tiba yake nini
 
Habarini wakuu,

Kwa muda mrefu nimekuwa na hili tatizo la tumbo kujaa gesi na kama kuwaka moto...Niliwahi kupima huko nyuma nikaambiwa nina tatizo la vidonda vya tumbo. Nimetumia dawa na dawa ila bado hili tatizo linanisumbua.

naomba wataalamu mnishauri nifanye nini ili kumaliza hili tatizo la kuhisi kama tumbo linawaka moto.

Natanguliza shukrani zangu.
Mtafute huyu 0684 84 08 29 atakuuzia dawa na utapona ili mradi kama kweli unauhakika ni vidonda vya tumbo.Dawa yake itumie kwenye uji.Na ikiisha ongeza tena mpaka hiyo hali iishe.Utapona tu.
 
Habarini wakuu,

Kwa muda mrefu nimekuwa na hili tatizo la tumbo kujaa gesi na kama kuwaka moto...Niliwahi kupima huko nyuma nikaambiwa nina tatizo la vidonda vya tumbo. Nimetumia dawa na dawa ila bado hili tatizo linanisumbua.

naomba wataalamu mnishauri nifanye nini ili kumaliza hili tatizo la kuhisi kama tumbo linawaka moto.

Natanguliza shukrani zangu.
Nenda hospitali ukapime Tena H pylori. Kama itakuwa unayo watakupatia dawa uitumie Kwa uaminifu maana inachukua kama ck 14 hivi

Kama hutakuwa na hao basi angalia ulaji wako nenda Kwa mtaalam wa lishe akuelekeze jinsi ya ulazi mzuri

Angalia pia Kwa ukoo wako kwa mama Yako na baba Yako kama hakujawahi kuwako na mtu wa aina hiyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom